Hahahah kama mwamunyange akupewa sumu na kukimbizwa Nairobi kwa matibabu
Aje yeye mwenyewe azibitishe akula sumu. Game LA kitoto kuna watu ni more than nation intelligence
Kwani huyo mkuu wa majeshi kwa sasa yuko wapi?
:glasses-nerdy:
Kweli kabisa mkuu upo SahihiMkuu acha kuwafundisha watu uoga hii nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria,kijana kashitakiwa kwa kosa la kuzusha na kusambaza habari za uongo,
Hizo habari za kudhibitisha kifo cha mkuu ni habari nyingine na hayo ni mashtaka mapya ambayo ni mepesi kudhibitisha kuliko hata kunywa glass ya maji..unavyoshauri dogo kukubali makosa wakati upande wa mwendesha mashtaka wa serikali hawaja prove beyond reasonable doubt kuhusu hali ya mkuu uko ni kupandikiza watu uoga..sheria zipo na zipo kwa ajili ya watu wote bila ubaguz,
tuache sheria zifanye kazi.!!
Hata kama ikiwa kweli CDF wetu kafa, bado kijana huyu atatakiwa kuthibitisha mazingira ya kifo hicho. Au yeye ndo mhusika. Bado naona huyu kijana ni mjinga tu. Hivi anafahamu sio kila ukweli wafaa kusemwa?
Akiendelea kudanganywa atasumbuka sana tu. Na lazima iwe hivyo maana muda aliopewa wa kukanusha na kuomba radhi ulishapita. Soon he will be behind the bars. Atapoteza shule na matarajio ya wazazi wake, na hataitwa shujaa, maana shujaa hana kiburi na uongo. Na hataitwa mtetezi maana hakuna alichokuwa anatetea na kupigania. To hell with him
Mkuu acha kuwafundisha watu uoga hii nchi inaendeshwa kwa mujibu wa sheria,kijana kashitakiwa kwa kosa la kuzusha na kusambaza habari za uongo,
Hizo habari za kudhibitisha kifo cha mkuu ni habari nyingine na hayo ni mashtaka mapya ambayo ni mepesi kudhibitisha kuliko hata kunywa glass ya maji..unavyoshauri dogo kukubali makosa wakati upande wa mwendesha mashtaka wa serikali hawaja prove beyond reasonable doubt kuhusu hali ya mkuu uko ni kupandikiza watu uoga..sheria zipo na zipo kwa ajili ya watu wote bila ubaguz,
tuache sheria zifanye kazi.!!
Ilikuwa ziara ya siku tisa, leo ni siku ya ngapi..??
Naiona inataka kufanana na ile ya Mkenya wa Ulimboka.... Kimyaaaaaaaa.... Maana kwamba alikwenda kuungama kwa Gwajima ndo wakamkamata, Gwajima alikanusha..... Sasa kama kasema mkuu wetu ajitokeze na seme kitu juu ya afya yake...IMBOMBO ngafu.... Vipi jamaa akiamua kuthibitisha kauli za huyo dogo..???
Acha matusi kwani kakuzushia wewe??
Acha matusi kwani kakuzushia wewe??
Yupo ziarani Italia
Mkuu tenga mda kidogo upitie hiyo sheria ya makosa ya mitandoa.
Hakuna kifungu chochote kinachotutaka tusubilie wasemaji wa mamlaka husika tu ndo wawe watoa taarifa.argument yako haina mashiko.
Kumbuka katiba ndo sheria mama na katiba inatoa right ya kila mtu kuwa informed..how.?tunaweza tugalizungumza na hilo.