Huko kumejaa wachumia tumbo chochote chenye positive impact kwa nchi ila negative impact kwa chama hamkitaki ndio maana mwenyekiti wenu anawatia madole na hamna Cha kumfanya
Yep yep ebwanaee ahaaa.
Hahaha nalikumbuka As nimeliona Jana wale walikua Zantel na kinembo Chao Cha Zed nyeupe kikiwa kwenye background ya kijani
Sasatel nadhani nao walijifia mapema hawakudumu
Sure sure kipindi hicho vocha tunaita Dolla nadhani sababu ilikua na thamani sawa na 1$
Umenikumbusha na hao buzz walikua na slogan Yao ya Buzz ni Bomba huku Celtel wakienda na Celtel one network Hawa walisambaza mabango Yao karibia barabara kuu nchi nzima kila baada ya kilomita Kama 20 hv...
It
Itakua huyo mdau uliyemjibu alichelewa tu kujihusianisha na simu.
2005 tayari simu zimezagaa watu wa kawaida walikua wanatumia sana simens Nokia jeneza na Motorola wa kishua walikua zao ni Black berry (walikua na messenger Yao Kama ilivyo whatsap Leo ikienda kwa jina la BBM), Motorola L6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.