Amevipiga vita imani ameilindaHutumdai huyu mtu kwa kweli.
Mimi huyu jamaa kwa sasa duniani ndo kipimo kikuu cha namna binadamu anapaswa kusimama kuutetea ukweli.
Kweli kabisa. Ni mtu ambaye anastahili kupewa heshima kubwa kwa namna ambavyo hana ndimi mbili katika kutetea ukweli na haki.Kama kuna mpinzani wa kweli nchi hii, whom I can bet a mortgage on ni TL. The rest siwaamini hata kidogo.
Sikuulumii wewe. Nakiulumia kizazi chako tu. Ni bahati mbaya kuwa wajinga na wapumbavu ni lazima muwepo Duniani ili kuwe na balance ya maisha.Acha ujinga wewe.
Achievements za Lisu ni zipi??
Au kuwa mahabusu ndio kipimo cha mafanikio kwako??
Mwanasiasa bora kabisa ni Nyerere aliyewapiga mdomo wazungu mpaka wakamwachia Nchi.
Huyo zaidi ya kupayuka payuka , hana lolote katika medani za siasa.
AminaAmevipiga vita imani ameilinda
Long live Tundu Lissu
Amina
More specifically "one day soon"; waTanzania watakuwa huru na HAKI itatamalaki.Happy birthday mpenda haki, Mungu azidi kumpa afya njema, one day justice will prevail na Watanganyika wataishi kwa misingi ya sheria na haki.
Atatoka muda si mrefu. Chura kiziwi yamemfika shingoni.Bado yupo Gerezani. Wauaji ccm pamoja na kumpa ulemavu wa kudumu bado wanamshikiria Gerezani.
Usilitegemee hilo. Huyu muuaji dawa yake ni ICC tu.Atatoka muda si mrefu. Chura kiziwi yamemfika shingoni.
Huyu ni specie ya kipekee kabisa kuwahi kuishi Tanzania.Huyu jamaa ni mvumilivu na ana msimamo mithili ya Manabii wa kale ninaowasoma kwenye vitabu. Ni binadamu wachache sana wa calibre yake unaweza kuwapata Karne hii.