Recent content by darling one

  1. D

    Alidai hahitaji msaada, atalea mtoto mwenyewe, sasa karudi kwa magoti

    Unamzungumzia mwanao as if sio mwanao.initially hukuona umuhimu wake ndio maana ukamtaftia mama yake kazi ili asikusumbue and now unaomba ushauri kuhusu huyo mtoto. You dont deserve kua na huyo mtoto. Acha ubahili, na fahamu kua ni jukumu lako kutoa matunzo ya huyo mtoto since wewe ndio...
  2. D

    Alidai hahitaji msaada, atalea mtoto mwenyewe, sasa karudi kwa magoti

    i second you on that man! how can he act as if yule mtoto sio wake.. Plus he was trying to see kama anaweza kumuoa wakati at the same time living with another woman. Thats ----!
  3. D

    Men, Do you ever feel guilty for breaking a woman's heart?

    He does not deserve you, he got what he wanted from you.He is a liar. Dust yourself up and move on. As a matter of fact thank God for removing him from your life. Sometimes when they leave us, its not because something is wrong with us, but it is because we are way better than them in such a way...
  4. D

    Tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani katika maisha yangu

    Avumilie kisa anahudumiwa na kulishwa!!! Mambo ya kizamani hayo. Huo ni unyanyasaji wa kijinsia.
  5. D

    Tangu nimekuwa na huyu mwanaume sina amani katika maisha yangu

    kama hamjafunga ndoa.Sepa faster.sio pazuri hapo
  6. D

    Najaribiwa jamani

    Hi Lwenyi, hope all is well.. Kwanza kabisa the way you presented this issue of yours shows that there is some sense in your head. Its shows maturity in you. Inaonekana you have your life pulled together na upo vizuri. Kwanza kabisa DONT let these three girls ruin you. Cause what you are upto...
  7. D

    Jipende kwanza wewe kabla ya kumpenda unaemfikiria

    Kamwe usijishushe thamani yako maana uumbaji wa Mungu hauna makosa. Utofauti wako wewe ndio unaokufanya uwe wewe.. Jiamini na wala usikubali mtu mwingine akushushe.
  8. D

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    niite ..............!
  9. D

    Ni udhaifu kutembea na msichana wa kazi

    we bulldog ni mwanaume au mwanamke? hivi unamaanisha kweli ulichokisema hapo juu? yani ni heri mwanaume achepuke na mtu unaemjua kuliko usiemjua? are you serious? au wewe unasupport wake wenza?
  10. D

    Two and a half men v/s the big bang theory

    Halafu sasa huwezi amini in reality Allan yupo strict halafu Charlie ndo chizi chizi..yani I have to find two and a half men niaangalietena.
  11. D

    Two and a half men v/s the big bang theory

    Its true ,ila jamani Allan anachekesha mnoooo!!
  12. D

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    aku naogopa mie..
  13. D

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    Haha we nyumba tatu acha utani..
  14. D

    Two and a half men v/s the big bang theory

    The guy was beyond hillarious!! nilikua nachekaga kweli.. i wont mind rewatching it tena from season one
  15. D

    Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

    Sio Hilo bwana, lile lenyewe lile la kwenye cheti kabisa.. Haha
Back
Top Bottom