Recent content by Dark5560

  1. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nashkuru Sana ndugu Nitajitahidi kufata ushauri wako
  2. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nashkuru kiongozi
  3. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nashkuru ndugu Nina Imani ni miongoni mwa changamoto ambayo ni lazima nipite
  4. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Acha tuuu maana kuna wengine tunatokea mbali unakuta ushatumia nauli zaidi ya 80k halaf uambiwe urudi yaani ni jau sana
  5. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kwan pesa ya kujikimu huwa inakuwa bei gani
  6. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nd wameniambia nisubirie wataiingiza then Nd watanipigia Simu nikaanze rasmi
  7. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapana nahisi shida Ipo utumishi maana Mimi Kila siku nilikuwa natembelea website ya psrs na huku so Kila pdf nilikuwa naangalia lakini jina sijawah kuona na kazini nishaitwa na nimeripoti
  8. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Aondoe hofu ajipange aje haraka Sana aripoti then asubirie 14 days then aanze KAZI rasmi. Pia kama atakuwa na maswali or chochote njo inbox nikupe no umpatie niangalie naweza nikamsaidiaje maana na Mimi pia nipo halmashauri moja na yeye
  9. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwambie huyo dada aondoe hofu maana Mimi pia nipo halmashauri hiyohiyo na nimeitwa kwa mfumo huo kwaiyoo awe na amani na ajitahidi kama ikiwezekana wiki hii isiishe bila kuripoti
  10. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Huendi Dodoma coz barua yako ya kazi ishatangulia kituoni so wewe unapaswa uende na barua uloombea KAZI pamoja na vyeti vyako
  11. Dark5560

  12. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hapa direct sio database
  13. Dark5560

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hii ishu imenitokea hata Mimi na sasa hivi nipo kituoni
Back
Top Bottom