Recent content by dark web

  1. dark web

    Maisha yana funzo kwetu

  2. dark web

    Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Mkuu bonyeza link nimeweka hapo Na pia nimeandika baadhi ya huduma ambazo wameza jisajili na kuwa mtoa huduma au muhitaji huduma
  3. dark web

    Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Sahihi mkuu unaletewa alie karibu yako japo waweza mchagua unayemtaka
  4. dark web

    Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Kwamtu ambaye hana mchongo na ana ujuzi au ana kazi na anataka kazi ya ziada inafaa
  5. dark web

    Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Unaweza jisajili kama mtoa huduma au muhitaji huduma kwa mafundi aina zote, wafanya usafi changamkieni hii fursa nawasilisha!
  6. dark web

    Mwanamke/mwanaume Je una juzi wowote na huna mchongo wowote jaribu hii

    Wakuu Kuna app imeanzishwa tz ambayo ipo playstore na app store inaitwa tapchap hapa wanakutana kati ya mtoa huduma na muhitaji huduma, Mfano mtu anataka mtu wa kumfanyia usafi,fundi n.k wanakutanishwa na app na kuelewana na muhusika kwenda kufanya kazi husika BECOME A SERVICE PROVIDER ON...
  7. dark web

    Kama wewe ni fundi Umeme wa viwandani Jaribu hii nafasi ya kazi........

  8. dark web

    Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

    Duh mkuu unatumia nguvu kubwa sana, kunilazimisha nikubali jambo ambalo si kweli, Yote Kwa yote karibu sn mkuu!
  9. dark web

    Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

    Mkuu huyo man fried hata Simjui Kwa kwel
  10. dark web

    Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

    2012 na 2015 nilikuwa sijui jf mkuu!
  11. dark web

    Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

    Kikazi napatikana Mwenge mkuu
  12. dark web

    Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

    Ndio karibu sana Kwa ufundi na ushauri wakati wowote! Evelyn salt
  13. dark web

    Salamu kwenu great thinkers, naomba mnipokee, humu!

    Kuna kiingilio kumbe😳 sh ngapi?
Back
Top Bottom