Recent content by Dark Kingdom

  1. Dark Kingdom

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    Hii idadi mkulamba umebuni au n record halisi????? Maana kubuni buni vitu utakuja kupewa kes za uchochez za kujitakia
  2. Dark Kingdom

    Ajira za walimu changa la macho

    Akili za usiku
  3. Dark Kingdom

    Ajira za walimu changa la macho

    Kwel kuna haja ya VETA na SIDO kuzidi kupokea wanafunzi wengi zaidi. Watu wafahamu kuzalisha bidhaa mbal mbal kwa mtaji mdogo na kujipatia kipato cha kuendesha maisha ya kila siku. Haiwezekan kundi kubwa la vijana linasubiri ajira hizi chache tena kwa hamu kubwa uku walioomba ni wengi, hiki...
  4. Dark Kingdom

    Maendeleo ya watu au vitu?

    Hizi ni fikra chanya kabsa. Pongezi kwako mheshimiwa
  5. Dark Kingdom

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Mwanduni Mwambange Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom