Y
anahusiana na kudodosa jinsi viongozi wa chama na CDM ilivyokusanya na kubana matumizi ya fedha ili kufadhili UHAINI
Wanasheria na mawakili wanatumia njia ndefu sana kumjaza mtuhumiwa au mshitakiwa kwenye 18 zao
Je viongozi wa Serikali wanajua sheria au tumeamua nchi iongozwe kwa mtizamo wa mtu mmoja mmoja?
Kumeibuka kasumba kwenye shule nyingi hapa nchini kuweka kambi za kitaaluma kwa kigezo chan "vituo vya mada tata" au bweni bubu na wanafunzi kufundishwa muda mrefu bila kupata nafasi ya kuchangamana...
Si hivyo tu, kuna matumizi ya taa zenye rangi tofauti na zinazotambulika kisheria
Watu wanatumia taa za rangi tofautitofauti kama vile kijani, nyekundu n.k kwenye maeneo taa za Double hazard
Vilevile kwenye taa za nyuma, siku hizi vijana wanabadili na kuweka taa zinazotoa taa ambazo zinamulika...
Inategemea na mahali ulipo na upatikanaji wa material.
Ukiwa kijijini, uhakika wa kujenga na kupau na kufanya plastering walau chumba kimoja inawezakana. Kwa mjini, unaweza kuishia ujenzi wa boma na kubakiwa na visent endapo utasimamia mwenyewe na unajua mahali material yanakopatikana na una...
Nahitaji mwl wa kubadilisha nae. Nipo Lindi Ruangwa, Idara ya Sekondari. Nahitaji kwenda BAGAMOYO, KIBAHA, MOSHI, ARUSHA DC/ MANISPAA, MERU au MANYARA. PLZ wasiliana nami kwa PM au 0684086635/ 0717041305.
Nipo serious.
(DAU Tshs 300000 kwa ajili ya Usafiri)
NJOO RUANGWA NIENDE MOJA KATI YA MIKOA YA
KINONDONI,
ILALA
TEMEKE
BAGAMOYO
HANDENI
MOSHI
SAME
ARUSHA.
(Idara ya Secondary)
Nitumie PM au tuwasiliane kwa 0684086635 / 0717041305
(DAU Tshs 300000 kwa ajili ya Usafiri)
NJOO RUANGWA NIENDE MOJA KATI YA MIKOA YA
KINONDONI,
ILALA
TEMEKE
BAGAMOYO
HANDENI
MOSHI
SAME
ARUSHA.
(Idara ya Secondary)
Nitumie PM au tuwasiliane kwa 0684086635 / 0717041305
KUNA WATU HAWANA KAZI KABISA. ULIFANYA LINI RESEARCH?
Suala la kushindaama kushindwa litajulikanabaada ya matokeo. We endelea kuingiza chako mfukoni kwa kupiga porojo humu ndani. wenzako tutasema na KISANDUKU CHA KUPIGIA KURA.
Utafunga mwaka kwa kibarua kuota nyasi
Mimi natafuta mwalimu wa Sec wa kubadilishana nae. Yeye aje Ruangwa mm niende moja kati ya mikoa ya KINONDONI, BAGAMOYO, KIBAHA AU MORO TOWN.
Yeyote anayetokea moja ya sehemu hizo na angependa tubadikishane, tuwasiliane.
NB. Mchakato ukikamilika nitampatia 200000 na atazipokea kwa afisa Elimu-...
Kazi kuu ya mahakama ni kusimamia Sheria na kutoa Haki. Sheria zenyewe zinatungwa na Bunge. Inakuwaje leo Bosi amsikilize na kumtii mfanyakazi wake anayempa kuishi? La hasha, haiwezekani hata siku moja. Labda kama hakuna anayejua haki yake ya Msingi
USIROPOKE TU KAMA HUJASOMA KATIBA.
Kasome Ibara ya 100(1) inayoelekeza kuwa Bunge lina haki na madaraka yasiyohojiwa na chombo chochote kingine nje ya Bunge ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Halafu ndo uje utuambie hoja yako umeitoa wapi?
ACHA KUPOTOSHA wasiosoma katiba
HEY Y'ALL!!!!!
Mimi natafuta mwalimu wa Sec wa kubadilishana nae. Yeye aje Ruangwa mm niende moja kati ya mikoa ya KINONDONI, BAGAMOYO, KIBAHA, MOROGORO, TANGA, ARUSHA, KILIMANJARO AU MBEYA.
Yeyote anayetokea moja ya sehemu hizo na angependa tubadilishane, tuwasiliane kwa Private message au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.