Recent content by Dar_Millionaire

  1. Dar_Millionaire

    Ushauri: Law School iwe na mtihani wa kuchuja waombaji

    Acha uchawi. Wawekezaji tunapiga hela ndefu Sinza hapa kutoka kwa hawa mawakili watarajiwa.
  2. Dar_Millionaire

    Ushauri: Law School iwe na mtihani wa kuchuja waombaji

    Ukichuja watu utapataje hela? Waache wapokee tu, kwani umesikia kufaulu ni lazima? Kulipa ada ndo lazima.
  3. Dar_Millionaire

    It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

    Ila ni kweli Tabata imehamia Sinza. Naona hata Dully Sykes enzi hizo za kilele cha classic Bongo Fleva alikuwaga Sinza ila siku hizi kahamishia studio Tabata Kimanga.
  4. Dar_Millionaire

    Waenda mahakamani kuomba kufutwa kwa ukomo wa Urais. Wadai ukomo unazuia maendeleo. Ni mkakati wa kufanya urais usio na mwisho Tanzania

    Acha kumfananisha kabisa huyu na Mtikila. Mtikila alikuwa anafungua kesi zenye maslahi kwa umma. Kesi kama za kutaka mgombea binafsi. Kesi kama ya kuidai serikali fidia kwa kumfungia mahabusu Ijumaa na kumtoa Jumatatu kwa madai ya kwamba Jumamosi na Jumapili mahakama hazifanyi kazi, na...
  5. Dar_Millionaire

    Tundu Lissu: Siwezi kurejea Tanzania hadi niruhusiwe na madaktari

    Haya ni matokeo ya Mtaturu kuapishwa.
  6. Dar_Millionaire

    It’s time for Tabata, sio Sinza,sio Kinondoni. Njoo Tabata kwa wala bata

    Jifunze kwa Freeman Mbowe jinsi alivyoifanya Club Billicanas kuwa hot cake kwa miaka zaidi ya 20. Ni kuzaliwa upya kila baada ya muda fulani. Baa mpya ikizaliwa, na wewe ya kwako ifanyie renovation. Badilisha mandhari iwe mpya. Na muhimu kabisa ajiri wahudumu warembo.
  7. Dar_Millionaire

    Dr. Mwakyembe: Lugha ya Kiswahili itaanza kutumika mahakama za wilaya na Hakimu Mkazi

    Kwani ikiandikwa kwa Kiingereza huo mwanya haupo?
  8. Dar_Millionaire

    Wanawake wa Tanzania ni Wazuri, ila Elizabeth Michael Lulu ni Mrembo kuliko wote nchini

    Mtoa post nenda huko alikotoka Lulu (Marangu) utachanganyikiwa. Yaani kule Lulu ni wa kawaida kabisa. Kuna vifaa hatari. Nikisema hatari namaanisha hatari kwelikweli.
  9. Dar_Millionaire

    Ukitaka kujiajiri elimu ya kidato cha nne inatosha, kusoma hadi chuo kikuu ni kupoteza muda

    Hahahaaaa... hakuna dili serikalini ndo maana. Watu wamekaa miaka miwili bila kusafiri. Ila enzi za Kikwete ilikuwa kusoma dili upate ajira serikalini upige dili za posho, rushwa na nyinginezo.
  10. Dar_Millionaire

    Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    DW ni wapuuzi tu. Walishaonesha upuuzi wao msimu wa kampeni walipofanya mchezo kama wa Ben Saatisa kwa mtangazaji wao yule wa kike wa Zanzibar. Ni bora wahangaike na Kansela wao Anjela anayeivuruga Ujerumani kwa kuruhusu wahamiaji zaidi ya milioni moja kuingia nchini humo.
  11. Dar_Millionaire

    Majibu Mujarab kwa Zitto Kabwe juu ya sababu ya kuongezeka mishahara kati ya Juni 2015 na Juni 2016

    Mkuu umeeleweka vizuri sana. Ila hapa kuna nyumbu wengi wenyewe akili zao ni kuteuliwa na kulipwa na Lumumba. Hoja kama hizi hawana upeo wa kujadili.
  12. Dar_Millionaire

    Nyumba inauzwa Magomeni - Dsm

    Panya road watakatizia wapi wakati kituo kinachofuata kutoka kwa Popobawa ni Kwa Bi. Nyau.
  13. Dar_Millionaire

    Congo DRC: Waasi wa Mai Mai wawateka madereva 8 wa Tanzania, wanataka $ 4,000 kwa kila Dereva

    Hii habari ni ya uongo. Hakuna mzigo wa Congo unaopitia Tanzania. Bandari ni nyeupe. Hakuna meli. Wote wamekimbia VAT.
  14. Dar_Millionaire

    Rais Magufuli, tatizo sio kuficha pesa ila utakatishaji

    Bwana Lumumba hivi unadhani una taarifa zaidi kuliko Rais? Au una akili sana kuliko wachumi waliobobea serikalini? Unaelewa Rais kaongea nini haswa? Au ulitaka Rais aanze kutoa mhadhara wa kiuchumi wa jinsi pesa inavyofichwa na inavyochuliwa kwenye hotuba yake fupi?
  15. Dar_Millionaire

    How Mbowe Hotels fixed NHC

    Kumbe Billz ni ujenzi holela. Pabomolewe kabisa libaki jengo orijino.
Back
Top Bottom