kadiri umavyozidi kuchat zinashika chanel nyingi
leo setanta africa inaonesha,,dunai sports,dubai one,stv kungfu,guide,wale wa na zile 11 za awali zipo kama kawaida,,za dini zipo kama 30,,ikiwemo atn 1 and 2,
kuhusu kuscrach unaweza ukaset antena yako ya nje mfano wa hizo za startimes...