Mama kashtuka kipindi cha Magu hawa watu waliitafuna sana serikali kwa sababu ya kupeana ulaji bila kuangalia vigezo. Unakuta unalipa wakurugenzi wawili sehemu moja. Ni vizuri waweze kuangali namna ya uteuZi kwa kuwahamisha au kusubiri watu wamalize utumishi wao au wateuliwe ambao wamestaafu...
Vasco Dagama unamfahua au unasoma tu kwenye historia. Kwa kuingia kwa rais Samia mm mwenyewe nimepiga hatua 20 mail. Ukilinganisha na Magufuli. Kwanza mkopo wangu wa Chuo Kikuu umeisha mapema. Namshukuru Mungu sana kwa Rais Samia kuwa Rais.
Mpaka sasa hujaelewa kuwa upinzani haupo Tanzania? Yohana mbatizaji? Jua kwamba vyama vyote vya upinzani vipo ili kuisaidia ccm ishinde wala hakuna upinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.