ERB kwenye web site yao, utaona firm ila mara nyingi Tendering Process huwa ni confidential katika baadhi ya stage,
mfano proposal writting ambapo shortlisted Firm ndo wanakuwa wanafahamu, hivyo usipokuwa kwenye ile chain
ya shortlisted firm inakuwa ni ngumu sana kufahamu. Ila Tanroads kwenye...