Recent content by Danmak

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya wana copy & paste kila kitu kutoka kwetu Tanzania?

    Sio vibaya na kwa kuiga kwao wametuacha mbali sana. Sisi tumebaki tynapiga domo tu
  2. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wakenya wadai Olduvai Gorge ipo Kenya!

    Hao wana matatizo hao. Nina mashaka na uwezo wao wa kufikiri.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maalimu Seif umekwisha kisiasa kapumzike

    duh! huu uzi nao ni wa kiwango cha chini sana kuujadili
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kidato cha Tano na Sita kusoma BURE Kigoma

    Wazo zuri sana linatakiwa kuungwa mkono. Serikali ishughulikie tu miundo mbinu mingine ili kuboresha mazingira ya kufundishia. Hongera ACT
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia Sirlief amteua mtoto wake Gavana Benki Kuu!

    Fuatilia ujue alikuwa bank kuu toka lini na kwny position gani ndio utajua kwa nini Board imempa nafasi hiyo sio kubwabwaja tu. Watu wanaangalia uwezo wa mtu sio kupeana fadhila kama bongo hata kama mtu hana uwezo kwa nafasi husika
  6. D

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    asante Furher!
Back
Top Bottom