Sniper shooter
Senior Member
- Jan 3, 2016
- 178
- 128
Hivi kwelii Maalim Seif ametekwa kiakili na hawa waroho na wabinafsi wanaojiita ukawa eti asishiriki uchaguzi wamarudio kwa sababu za kitoto kbsa eti nilishinda uchaguzi wa awali kwani tume ilimtangaza kuwa ameshinda?? au ndo zile hadithi za vibarazani mh kwa kweli umeingia choo cha kike utuombe radhi wazanzibari kwa kususia uchaguzi kwa mujibu wa sheria