Nina mtaji wa kuanzia 500k mpaka 1m nahitaji idea ya biashara ambayo haitakula much of my time namaanisha siku nzima kwamaana mimi ni nwanachuo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusiana na hili swala la msiba wa Ruge kila mtu anajitahidi kuonekana mwema...
Wote wanafiki tu.
Mwenye busara angejaribu kuwapatanisha kabla ya chochote hakijatokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la mtihani nikupima uelewa wa mwanafunzi sio kuwakomoa wanafunzi watunzi wa mitihan wa zaman hizo walkua hawana uelewa na hlo sasa hivi wajua kua mtihani sio vita
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naona tatizo ambalo lipo na ni kubwa kuliko unalotaka tujadili ni shule ambazo hawana kabsa division 1 ,division 2 iko moja 3 zinahesabika embu tizama hayo matokeo yaliko hapo chini..
Sent using Jamii Forums mobile app
I need an english practising partner we will have our conversating schedule giving one another different life advices for the aim of improving the quality of our english check me on 0672961156
Age (18-25years) the aim is having an agemate as a partner
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiingii akilini kama mtu atakuomba msamaha kabla ya kukukanyaga ndipo akakukanyaga kimsingi lazma uongee kama uko timamu na alichokua anakifanya bro hapo nafikiri nkutoa elimu kuhusu wokovu ambayo ndugu yetu kaikosa ndio sababu akafananisha wokovu na vitu vya kijinga...
Sent using Jamii Forums...
Unachotakiwa ni kujua exchange rate za dollar na euro then ili upate faida unatakiwa either uununue au uuze moja wapo ya hzo fedha kulingana na viwango vya kubadili fedha vya siku husika
Shida ya watanzania ni moja wanakurupuka na hatupendi kusoma wote wanaiponda forex na wanaoisifia forex hawajui hata kirefu chake (foreign exchange) na sio mchezo wala sio njia yoyote ya kupata utajiri ni soko la kubadili fedha za kimataifa....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.