Hili nalo fala la wapi... Mtoa maada amesema kampenda house girl wake jinsi anvyohidumia mtoto... Ila anamtia uzembe mke wake ambaye hafanyi chochote..... Anataka amwondoe ili mke wake a assume responsibilities... Anamuonea huruma....hataki kutembea na hg.. Ataonfokaje..... Tukasema basi mpeleke...
Exactly...?? Tena afanye window shopping za kutosha, kabla ya kufanya manunuzi, mimi nilikimbilia kwa wa Spanish pale... Nimekuja kuona tiles zingine super nikachoka kabisa
Vietnam wamechukua mbegu za samaki sato na korosho leo hii ni exporter wakubwa duniani.... Uliza sisi tunafanyake... Tuko busy kuweka makatokoto kwenye korosho... Na kula mapank
Hili fala kweli, waanaume 100 wanatoka sayari ya Mars?? Hata machangu wanajiuza barabarani kuna siku wanatoka kapa..!
Hebu tuwaheshimu viumbe hawa wazuri... Ni wake zetu.. dada zetu..
Nawapenda sana wanawake wote..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.