Recent content by daniel mwasemele

  1. D

    JamiiForums Tanzania Misemo ya Mpoki jamani!

    huwezi ukaandikia mkaa kwenye rami ! By mpoki
  2. D

    JamiiForums Tanzania Vioja Katika Daladala!

    iyo tamu !
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bajaji inauzwa

    piga picha tuone Thn ongea na price
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    buldings in account we call the fixed asset . Even vitu kama hela ambazo ni cash , cash at bank , debtors , and stock izo tunaita current asset. Na vitu kama loan au mkopo tunaita current liabilities ! Nyc time
  5. D

    JamiiForums Tanzania Toyota Chaser Gx100 Avante

    weka picha ionekane ! Kama inalipa
  6. D

    JamiiForums Tanzania swali naombeni majibu

    naombeni kujua bei ya gold na tanzanite kwa gram 1 ! Kwenye masoko ya wachimbaji wadogo na masoko ya wanunuzi wa jumla kwa tanzania na kenya !
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupanga bei za bidhaa au huduma

    ili kupanga bei ya bidhaa au huduma (service ) inabidi kujua level ya maisha katika eneo husika la biashara au huduma kwa kuangalia incomes za watu katika eneo hilo, ili kujua % kubwa ni matajiri , level yakati au watu wa hali ya chini ! Ukizingatia hii utapata kupanga bei nzuri na yenye faida...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuendesha biashara ya conference facilities

    ili kupata tenda ingawa huna ukumbi, kwanza jaribu kujuana na watu mashuhuri ambao wanahusika na masherehe mbalimbali ili kuwa na partnership ktk kupata tenda even jaribu kuwa mtafiti wapi kutakua na sherehe ili kuwatafuta wanakamati ili kuwashawishi wakupe tenda na ukishapata inabidi utumie...
Back
Top Bottom