Naomba Msaada gari langu Aina ya Toyota Townace new model, nikisha park na kuzima gali pia kuzima taa zote na kuchomoa funguo, baada ya nusu saa gari linajiwasha taa kubwa. je tatizo ni nini.
Hellow Marafiki naitwa Daniel John, ninafuraha kujiunga hapa, naandika hadithi mbali mbali nimeanza na kuposti hadithi ya .. Kwanini Mimi nategemea sapoti kubwa toka kwenu. asanteni kwa ushirikiano.
Hellow Marafiki naitwa Daniel John, ninafuraha kujiunga hapa, naandika hadithi mbali mbali nimeanza na kuposti hadithi ya .. Kwanini Mimi nategemea sapoti kubwa toka kwenu. asanteni kwa ushirikiano.
Kwanini Mimi
Mtunzi : Daniel John Mtambo
SEHEMU YA KWANZA (I)
Kila Jambo linalokukuta ktk maisha Ni makusudi ya Mungu.
Kijana Moja Aliyeitwa Aizaki John alikua Na elimu ya uhasibu ngazi ya degree, kwa mda wa miaka mwili toka alipohitimu elimu yake ya chuo kikuu, alizunguka sehem...
Kwanini Mimi? .....
Mtunzi : Daniel John Mtambo
SEHEMU YA KWANZA (I)
Kila Jambo linalokukuta ktk maisha Ni makusudi ya Mungu.
Kijana Moja Aliyeitwa Aizaki John alikua Na elimu ya uhasibu ngazi ya degree, kwa mda wa miaka mwili toka alipohitimu elimu yake ya chuo kikuu, alizunguka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.