Yaan kikubwaa ni kwamba bado nchi haina mfumo maalumu wa kutenganisha matakwa binafsi ya rais na ya kitaifa ndo hvyo hata kwenye sera kila rais akiingia madarakani anakuja na sera zake
Binafsi kati ya vitu sitavusupport ni kuwepo kwa serikali tatu, ukibishaa njoo na hoja, hoja yang ya msingi serikali tatu sio suruhisho la matatizo yetu ya msingi, tunaweza kutumia hizi tulizo nazo kama tutapata viongozi wazuri
KENZY, Wewe una uhakika hiyo plan A hawakuifanya au una uhakika gani kwamba hata B walikuwa hawajafika, sio kila kosa ni kosa, na sio kila sheria ni sheria
Ukiniuliza nimsifie magufur wapi ntasema economically, social kajitaidi xna tena xna pongezi kwake , kakosa tu washauri tungekua mbali xnaa maana siamini kama yeye anaweza akawa perfect % 100 but we would keep moving alekebishe kidgoo kwenye siasa hapoo ndo kidgoo naona panayumba ila mengine mh...
Kuna siku nilimwambia magufuri akiondoka madarakani kuna haja ya kukiweka chama kingine madarakani maaana naaamini hawa washiliki wake watatugeuka na kitutudisha enzi zile za nyumaa
Mm binafsi uwaga najiuliza kwann upinzani nchi za kiafrika unakuepo hata baada ya uchaguzi yaan unakuta wapinzani bado wanakiwasha hata baada ya uchaguzi kitu ambachoo ni tofauti na wenzetu wa magharibi xaxa najiuliza maswali haya , viongozi wanaoingia madarakani wanafanya xna makosa mpaka...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.