Chama cha ACT wazalendo kimemvua uanachama aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Karikacha

View attachment 1267527
Chama cha ACTwazalendo kimemvua uanachama aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa Mtaa wa Karikacha, Manispaa ya Moshi, Prophil Shayo kufuatia kuendelea na mchakato wa uchaguzi licha ya chama hicho kujitoa. Shayo tayari amewasilisha barua kwa msimamizi wa uchaguzi baada ya hatua hiyo.
Huu ndo umbumbumbu wa vyama vyetu vya upinzani!

Mnapochukua maamzi muwe mnaisoma au kuisikiliza hotuba ya Dkt Slaa!!
 
Bosi hanuniwi.... Hii ndo dawa. Ameleta kibri..sasa asubiri tamko la waziri husika kwamba yeye bado ni mgombea.
 
Back
Top Bottom