Recent content by dani wa kg

  1. D

    Baadhi ya wanaojiita Manabii, wachungaji wanasababisha ndoa nyingi kuvunjika

    uko sahihi kabisa mkuu,, mm hili jambo limetokea kwenye familia yetu ilipelekea mpaka watoto tukagawanyika wengine kwa baba wengine kwa mama na ndio chanzo Cha mzee wangu kufariki kifo Cha mateso sana, huwa inaniumiza sana nikiikumbuka hili jambo na tokea hapo sina Imani na hawa manabii wachumia...
  2. D

    Kassim Majaliwa Kiongozi pekee ambaye hakumsimanga Spika Ndugai jana

    kwani Baraza la wawakilishi lilishawahi kuongozwa na mtu kutoka bara au kuna raisi toka bara alie ongoza upande wa pili au na ww ni wa upande wa pili?
  3. D

    Wamachinga wameruhusiwa kurudi Mbagala Rangitatu?

    sasa mlitaka waende wapi
  4. D

    Major Abdulrahman Shimbo: Kamanda wa Kikosi cha JWTZ kilichozima jaribio la mapinduzi Seychelles

    ni luteni jeneral ndomba, ndio alikuwa na tuhuma izo za kula hela za wajeda kaka kustaafishwa na jpm kabla ya muda wake wa utumishi jeshi kufika
  5. D

    Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

    kwani yanga walipokataa kuvaa logo ya NBC yenye rangi nyekundu NBC walikuwa ni simba??
  6. D

    Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

    kumbe ushungi unavulika eee!!!
  7. D

    Najitoa rasmi Tigo

    tigo mtandao, sio uko uliko fika ww mkuu[emoji23][emoji23]
  8. D

    Updates za mshahara wa March 2021

    ww utakuwa mjeda wa jeshi la wafu ila wajeda wenyewe wa Tz washalipwa mshahara wao toka asubuhi
Back
Top Bottom