Recent content by danhosnoop

  1. danhosnoop

    Wadau wa MMU mmeniponza, nimeachwa

    Amna kosa kubwa mtu unaloweza kufanya kwenye mahusiano au ndoa kama kucopy formula ya mtu mwingine kwenye mahusiano yake ukaileta kwako. Kuna msemo wa kitaalamu unasema "kama inafanya kazi kwa wengine, haina maana itafanya kazi na kwako." Kwa case yako ni kwamba kama njia ya makofi inafanya kazi...
  2. danhosnoop

    Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

    Jamaa nlisoma nae seminary St. Peter's, Moro. Alikua kaka mkuu wetu, ni mwana sana. Nakumbuka katokea parokia ya ukonga
  3. danhosnoop

    Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

    St. Peter's Junior Seminary, SPS. MORO
  4. danhosnoop

    Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

    Nimesoma na James Masanilo (stereo) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. danhosnoop

    Administrative officer

    Maswali yalikua ni vile vile 50 ya multiple choice? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. danhosnoop

    Administrative officer

    Database? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. danhosnoop

    Utatuzi wa tatizo la wale ambao mikopo yao kwa mwaka 2018/19 imeenda vyuo tofauti na walipo unaendeleaje?

    Hawajajua tuu, mi najuta kwanini nlichkua. Nimetoka wiki iliyopita kucheki statement nkakuta nadaiwa 12m na ushee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. danhosnoop

    CRDB Mbezi Luis mjitathmini

    ni wengi sana huwa nawaskia wanamlalamikia, na malalamiko ya aina hii wanayajua fika. Kinachonishangaza ni yeye kuendelea kua front desk pale baada ya malalamiko ya kila siku ya wateja Sent using Jamii Forums mobile app
  9. danhosnoop

    CRDB Mbezi Luis mjitathmini

    Yule dada mfupi mweusi ana dharau sana, kanajiona kekiii kenyewe, kumbe kabovu tuu. kama ulivyosema ishu ya dakika 0 tuu anakugandisha pale kama hakuoni yani. Itakua analiwa na meneja wa lile tawi, ndo maana analeta dharau bila kuwajibishwa. kuna siku nimechoka zangu akaniletea za kuleta...
  10. danhosnoop

    Jukwaa la wafamasia

    Aisee, kweli changamoto. Watano, duh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. danhosnoop

    Jukwaa la wafamasia

    Mkuu nilisema wanahitajika kwa maana ya kua kada ya afya kwa ujumla wake ni moja kati ya kada muhimu jeshini, ndo maana karibu kila mwaka huwa wanaitwa. Kwa jeshi kada ya afya haiwezi kua sawa na kada kama ya uchumi labda Sent using Jamii Forums mobile app
  12. danhosnoop

    Jukwaa la wafamasia

    Ilikua ni fursa nzuri kwa vijana kuingia moja kwa moja jeshini bila hata kupita jkt. Wenye fani hizi wanahitajika sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. danhosnoop

    Jukwaa la wafamasia

    Wenye fani za afya wakiwemo wafamasia, kuanzia ngazi ya diploma kama sikosei walioko mtaani wenye miaka chini ya 28 waliitwa kusailiwa na jeshi mwezi uliopita. Walijitokeza maelfu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. danhosnoop

    Jukwaa la wafamasia

    Wengi si itakua wako makambini mkuu? Maana mgulani kulikua na nyomi ya hatari Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom