CRDB Mbezi Luis mjitathmini

CRDB Mbezi Luis mjitathmini

Yule hana uwezo,trust me
Huenda ukifatilia utakuta aliletwa na kimemo
Crdb ni benki yangu,naikubal sana so nikikutana na kilaza mmoja anayefanya niichukie nakwazika sana
Crdb jirekebishe
Huyu binti hapaswi kuwa hapo front desk, ni kilaza ,anafanya wote muonekane mnabahatisha kazi zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni wengi sana huwa nawaskia wanamlalamikia, na malalamiko ya aina hii wanayajua fika. Kinachonishangaza ni yeye kuendelea kua front desk pale baada ya malalamiko ya kila siku ya wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni wengi sana huwa nawaskia wanamlalamikia, na malalamiko ya aina hii wanayajua fika. Kinachonishangaza ni yeye kuendelea kua front desk pale baada ya malalamiko ya kila siku ya wateja

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ni ishu ya meneja
Ama wanahisi pale front desk ni parahisi so kwa ukilaza wake panamfaa,ila wanashindwa elewa front desk ni taswira ya ofisi yoyote,ukiweka kilaza wote mtaonekana hopeless
Kama wanasoma wamtoe hapo,wamweke hata kwenye kupanga files na kupikia chai wafanyakazi wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mchana wanaJf

Leo kwenye saa 4 asubuh,nilikwenda benki ya Crdb tawi la mbezi Luis kushughulikia miamala kadhaa ya kibenki.

Nikaanzia mapokezi pale ambapo pamoja na kuwa na PC tatu za customer care,alikuwepo binti mmoja tu akitoa huduma.
Kilichofanya nilete uzi huu ni kuwa ,that girl is too dumb.Am sorry to say that.Yaani ishu ndogo tu ya kumsikiliza mteja, kutambua hitaj la Mteja na kumwelekeza sehemu sahii inamchukua more than 1 hour.

Customer care anapaswa kuwa mtu smart na mwenye uelewa mkubwa wa ishu za kampuni husika.Msituwekee wenye vicertificate ama vidiploma vya pichu mapokezi/reception.Mnajiharihia hadi brand zenu kwa upuuz huo.

Nililotaka Fanya benki nimeghair kwa Leo for sure .Kwan sidhan kama ni busara uniweke nimesimama customer care zaid ya saa moja kwa ishu ya kutatuliwa ndani ya 10 minutes. Halafu wakenya wakija chukua ajira bongo tunaanza kulialia bila mpango.Tubadilike jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa kukwazwa
 
Sio UTU. Utu ni uamuzi, ila huduma nzuri kwenye biashara ZINASOMEWA, zinapatikana kwa uzoefu na zinaweza kuwa enforced mahali pa kazi kwa KANUNI na TARATIBU madhubuti. Hata mtu awe na roho mbaya vipi, huduma nzuri kwa mteja ni HAKI yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes,hatuhitaj roho mbaya ama nzuri yake,Mteja anastahili Huduma nzuri,ni haki yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa yao ni kutengeneza scene ( unamfungia mtaa hapo benki) mpaka Maneja atoke huko alikojifugia. Ulivyoondoka kimyakimya hawawezi kujifunza (labda kwa kuwa wanapita humu). Siku nyingine ukifika pale utahudumiwa fasta maana wote watakukariri na kujua "shughuli" yako.
 
Dawa yao ni kutengeneza scene ( unamfungia mtaa hapo benki) mpaka Maneja atoke huko alikojifugia. Ulivyoondoka kimyakimya hawawezi kujifunza (labda kwa kuwa wanapita humu). Siku nyingine ukifika pale utahudumiwa fasta maana wote watakukariri na kujua "shughuli" yako.
Sawa lakin Huduma nzuri na kwa wakati ni haki ya Mteja
Sasa kila mtu akifanya scene si itakuwa balaa,wajirekebishe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom