Recent content by Dangotte Junior

  1. Dangotte Junior

    Nanunua laptop zilizo na changamoto

    Makubaliano, ukizikagua na kurudhika ndo tutaingia kwenye bussiness
  2. Dangotte Junior

    Nanunua laptop zilizo na changamoto

    Ila ziko moshi
  3. Dangotte Junior

    Nanunua laptop zilizo na changamoto

    Moshi
  4. Dangotte Junior

    Nanunua laptop zilizo na changamoto

    Nina desktop kama 20 hivi. Je utazihitaji? Zilikua za office lakn saiz office inatumia laptop. Kwa hyo desktop hazina kazi tena
  5. Dangotte Junior

    Hackers tukutane hapa!

    Asante sana. I appreciate your replies.
  6. Dangotte Junior

    Hackers tukutane hapa!

    Thanks bro, CS Naipenda sana ila najua itanishinda kwa sababu somo la hesabu & Physics tangu nilipokua FORM II hadi FORM VI nlikua napata F. Itabidi tu nikapige IT sina namna. afu nimefatilia vyuo vya serikali ambacho entry qualifications zake hazihitaji pass ya Mathematics ni NIT tu...
  7. Dangotte Junior

    Hackers tukutane hapa!

    Asante kwa usharudi bro ila mm kwenye mathematics na phyisics ni mbovu balaa. Nilitamani sana kusoma course mojawapo Kati ya Computer science, Computer engineering na IT. Nikafanya uchunguzi na kuona kwamba kati ya hzo kozi tatu zote, ni IT pekee ndo Haina mahesabu ndo mana pale Chuo cha NIT...
  8. Dangotte Junior

    Hackers tukutane hapa!

    Asante sana nashukuru kwa ushauri.
  9. Dangotte Junior

    Hackers tukutane hapa!

    Bro, mm ni mwalimu, Nina degree,, nimeajiriwa huku halmashauri ila mshahara ni kiduchu sana. Mm ninapenda sana technology issues but sina knowledge yyte about technology. Nataka niende nikachukue degree nyngne ya IT pale chuo cha NIT MABIBO. Unanishauri nijikite na field gan zaidi Kati ya cyber...
  10. Dangotte Junior

    Kuna mahala wanuuza samsung A17 4gb ram/128gb kwa 380,000 wengine wanauza 500,000. Hii inaweza kuwa sababu ni nini haswa kimkakati na kimjini mjini?

    simu used znazouzwa madukani mara nyngi huwa zmetumika nchi za nje hasa hasa china, japan, usa, dubai. Je kati ya hzo nchi hapo kuna nchi ambayo inatumia Samsung A series?? au unaposema wanauza Samsung used unamaanisha nini?
  11. Dangotte Junior

    Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

    Unaona kajitu kana ndevu panya buku😁😁😁😂😂😂😂😂☝️☝️
  12. Dangotte Junior

    PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

    Hicho chuo chenyewe cha moro sio chao, ni mali ya wakatoliki. hawa waislamu walikuaga na majengo yao pale iringa mjini ambapo leo hii pana chuo cha wakatoliki (RUCO). Sasa wakatoliki waliyahitaji hayo majengo yaliyopo hapo iringa kwa hyo wakawajengea waislam hcho chuo cha moro as an exchange.
  13. Dangotte Junior

    MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

    Nitajijuaje kama ninazo au sina hizo nguvu za kiroho?
Back
Top Bottom