Recent content by Dango4Dango

  1. D

    Niagize gari Japan au ninunue used hapa hapa Tanzania!?

    Mimi na washkaji zangu tumechukua gari showroom ya Tengoz (M) LTD , jamaa ni very honest na gari zipo in very good condition, ukiwa mjini utaona gari nyingi walizouza zina label ya Tengoz kwenye kioo cha nyuma. Sahivi nimeona wana page kwenye instagram #TENGOZLTD.
  2. D

    Msaada e-commerce survey

    Jamaa yangu anafanya research ya e-commerce Tanzania, ili kukamilisha research anaomba msaada wetu wadau. E-commerce ni teknolojia muhimu sana na inatumika sana huku nje. Kwa maelezo zaidi fungua link hapo chini. I am writing a research on e-commerce acceptance in Tanzania. I'd really...
  3. D

    Serengeti vs Maasai Mara

    Inasikitisha sana kwa kiasi gani huduma zetu za utalii ni za enzi ya nyerere , wahudumu hawana ujuzi wa kuhudumia watalii ,kiingereza cha form two, miundo mbinu choka mbaya , magari mengi chokah mbaya. Ina nikumbusha kilimo chetu cha jembe na kungojea mvua kwa miaka 50 ya uhuru . Roho inauma...
  4. D

    Kwa Nini Wadada na Mama Mnatutega sana?

    thats why sometimes aint buying the women right thing......what? right to be naked and kill us with aids! women are so stupid(not all of course)......all what they are thinking is to attract men......some even with husbands at home!!.....seriously,cant you make that priority D or E,why make that...
  5. D

    Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

    Sie Yanga tunawashukuru waandalizi kwa kutupa nafasi hii mapema.... tulipanga kulipa kisasi baadae kwenye ligi, ...kwa imepatikana chance hii, mbona watatutambua...tutanyoanyoa sharubu za mnyama zote! Jangwani tupeni raha huko.
  6. D

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Dozi ya nne nne safari hii tumeianza mapema....mjishike...hatuangalii sura ni dozi mpaka tulione kombe anfield.
  7. D

    Kazi kwenu taifa stars; tumechoka na sababu za kila siku

    Wadau huko nyumbani tupeni ripoti....stars vs NZL nani mkali? hiki kimya ndio kusema tushatandikwa au...!
  8. D

    Big Brother Africa III

    BBA3, mwanadada wa kitanzania ameenda kututia aibu, na afadhali ametoka mapema BBA2, pamoja na kwamba wengi mnaona Mtanzania kashinda lkn ukweli ni kwamba maadili aliyoyaonesha huyu jamaa ni aibu tupu kwa Watanzania. Richard alikuwa Mme wa mtu kwanza , akaenda kufanya mambo ya ajabu na demu...
Back
Top Bottom