Recent content by dandabo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama Sekretarieti na NEC CCM White House watakumbuka haya, Lowassa asipoteze muda

    Mwaka huo huo Yeriko Nyerere aliongoza vijana waka deki barabara alikopita huyo mwizi aliyemtaja kwenye huu uzi!!!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la Umoja wa Kizazi cha kuhoji Tanzania (UTG) kuhusu suala Ben Saanane kutojulikana alipo

    Umesema ukweli!! Jamaa wanaboa sana!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa marekani kurudiwa kupitia Electoral College

    Sasa wewe hiyo paragraph yako ya mwisho inamaanisha DEMOKRASIA ipi??? Inayotaka Hillary ashinde Na sio kushindwa???
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Ukusema CUF wanataka kumfungulia mashitaka Msajiri Na Lipumba itabidi uweke wazi una maanisha CUF ipi? Maana CUF halali kisheria Ni ile inayoongozwa Na Prof. Lipumba! Kama Ni hao cuf waasi basi hata mashitaka hayo hayana mashiko, yatatupiliwa mbali tu!!
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanakaribia kuiua CUF Bara kama walivyofanya kwa NCCR

    CDM watu wa ajabu sana! Hayo ya CUF yanawahusu nini?? Waacheni CUF watatue matatizo yao Na ninyi elekezeni nguvu zenu kwenye ukuta mliouasisi!!!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wanadai hii video ndio ya kutisha kuliko zote ISIS walishawahi kutoa

    Then the practice is the opposite! Moslems practice that quote of the bible and Christian the quote from Quran!!!!!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

    Wajenge ofisi kwanza
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu,rafiki zangu

    Wewe kweli una kadegree! Ungekuwa Na degree iliyokamilika singeyaandika haya!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kutoka Makao Makuu CHADEMA: M/kiti Mbowe aahirisha maandamano ya UKUTA ya Oktoba Mosi

    Ha ha ha! Nawaonea huruma hao unao wa-consultantia!!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Maalim Seif na Viongozi wa CUF yahairishwa baada ya viashairia vya fujo Buguruni

    Ha ha ha ha!! Sipati picha Maalim atakavyotolewa baru!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Maalim Seif na Viongozi wa CUF yahairishwa baada ya viashairia vya fujo Buguruni

    Hao jamaa Leo wameikubali intelligencia ya jeshi la polisi, ha ha ha!! Haya Ni maajabu!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya akaunti hewa CRDB na Ile ya Serikali: Ni ipi ilifunguliwa kwanza?

    Mkiambiwa mna akili ndogo mnalalamika! Sasa hii coment yako inamaanisha Yule mkurugenzi Na RAS ambao Ni wateule wa Raisi Ni UKAWA??
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ndege zinamsaidia nini bibi yangu kule kijijini?

    Elimu Elimu Elimu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa: Sikumrudishia Lipumba uenyekiti CUF

    Hilo gazeti mbona hata sijawahi kuliona? Hizo heading zote kwenye ukurasa wa kwanza Ni za Ukawa tupu!!! Siwezi kuliamini Hilo
Back
Top Bottom