Tatizo wanaume hupenda kuwa too dominance katika maamuzi,
Jina la mtu wa film sijapenda kwa upande wangu,
ila kama kumetumika mchakato wa kupata jina si kitu kibaya.
Mfano, mahali, kitu, event au hali yoyote ile.
Nilipopata mtoto, kipindi nikiwa preg. nilikaa muda mrefu kupanga jina na...