Wanaume wahuni na mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wahuni na mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Katavi, Sep 23, 2009.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Je kuna ukweli wowote kuhusu habari za kimapenzi zinazowahusu watu hawa?
  1. Eti wanaume wahuni ndio wanaopendwa na wanawake wengi, na ndio wenye bahati ya kupata wanawake wazuri, kwa sababu hawana haya kwenye mavituz!!
  2. Ukiwa na kimada wa Kimakonde au Kirangi lazima utaitelekeza familia tu jinsi utakavyopewa mavituz!
   
 2. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mhh.......hiyo kali
   
 3. D

  Danda Member

  #3
  Sep 23, 2009
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  aisifiaye mvua,
  ashawahi myea huyooo.....
   
 4. m

  mpangwa1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2009
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 279
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yeah, they have good experience, woman will accept a man depends on how he presents his proposal. hawa jamaa wajua kuweka mambo sawa hata mke wako akipita karibu yao.....

  women always like fun people kusifuwa sana kushikwashikwa na mambo mengi yaani huyo.
   
 5. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  warangi wengi wanakuwa wamekeketwa
   
 6. BabaBabuu

  BabaBabuu Member

  #6
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  1. experience is a very good teacher
  2. yah kuna ka-ukweli flani hivi maana wengi wao wanatoa VAS (value added services) ambazo zinawachanganya sana wanaume wengi. nafikiri huwa wanafundishwa (kufundwa) maana utawasikia "kun-nyima ntu kitu ngali nnacho zambi, bah"
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,829
  Trophy Points: 280
  Namba moja ni ukweli kabisa. Uzoefu huo ninao.
  Namba mbili si kweli kabisa. Uzoefu huo ninao.
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ndio kusema wanaooa makabila haya wanatosheka au, sio 'wazururaji' ki vile, au sio?
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wamakonde nawakubali wamo lakini warangi wachovu hawana kitu ingawa wamejariwa weupe ndio kuna weusi hata sura pia wameumbika tatizo ni maharage ya Mbeya.
  Kuhusu wanaume wanao chapa sana hiyo kweli maana kitaa kuna baba amechapa wake za watu mtaa mzima na wanajipeleka wenyewe anatembea na K-Y mfukoni wanadai iwa anajiexpress sasa si unajua wanawake wakisha pewa vitu vitamu lazima akasimulie kwa ofisi au kwa shostnino wake yule baba ananipa raha sijawahi pata kwa Mr. basi na mwingine nae anajisogeza jamaa ana mega tu duh kuja kushtukia kamega mtaa mzima.
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Katavi,
  Hilo jina lako na picha kweli vimefanana. Umenirudisha mbali saana miaka ile nikiwa mdogo na kuliona kundi kama la Mwana Rwerwe(Fundikira Family wa Kiparapara/Itetemya) wakiimba nyimbo za mashetani yaitwayo "Migavo" . Migavo ni kama Sikinde maana wanacheza wakiwa wamekaa. Kuna wimbo walikuwa wakiimba "Katavi mlete....., Nsimba yalila......"

  Juu ya wanaume kupendwa, mie nimesikia na kushuhudia na hii ni kwa nchi mbili tofauti na za mabara tofauti kuwa "Wanaume wenye MWANYA kwenye meno ya juu kama ule wa Mwamvita Makamba, WANAPENDWA SANA NA WANAWAKE. Nina jamaa zangu wawili kutoka nchi tofauti na wao huwa hadi wanakiri kuwa "sielewi wanawake wanaona nini kwetu".
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Sep 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wakuu msisahau mademu au wanawake wa Kitanga nako mmmh watu tumeshikwa masikio mpaka tunashindwa kuchomoka kha!!
   
 12. BabaBabuu

  BabaBabuu Member

  #12
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  mh kwa kuchafuana vivu*i hawajambo. mtu unaji-express usiku kucha bil tatizo, balaaaaaaaaaaa
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  i see mie ni mwanamke ila kwenye swala la kwanza hapo nadhani huyu aliyeuliza ana kaukweli fulani ..maana katika jamii inayonizunguka hapa nikijaribu ku-compare swali na hali halisi jibu linakuwa postive kabisa ...

  ila swali la pili ni ngumu kujibu no idea
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Na wewe nae sometimes sijui unatoaga wapi hao mabibi zako, sidhani kama warangi ni wachovu hivyo labda hao niliokula mie wamenidanganya kabila? Hivi umesahau hakuna wanawake laini kula kama wa kutoka Tanga?? tena wao hawajui hata ni tundu gani unaweka?

  Kweli kipendacho roho hula uozo
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hilo halina mjadala.... Mwanaume striker huwa hivyo kutokana na kuwa na mvuto from the beggining!!! Hawakuwa viwembe bila quality za mvuto

  Jiulize, jitu halina mvuto litawezaje kupendwa na hivyo kuwa striker?
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Sep 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha MTM umeniacha hoi mzeeya.
  Hapo Kondoa Irangi mzee nimeonja radha kadhaa na ingine ninayo muulize Geoff juzi kati hapa nilimwoshe ulimi nje black wa kung'aa sasa tatizo anashindwa kujituma lakini sura anayo na ana mvuto wa kimahaba balaa midume inayo penda penda ovyo kama Gudboy anaweza jimaliza kwa suruali.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah ukiwa mgawa dozi mzuri warembo wanajileta wenyewe unasukuma kama kete vile za draft mchezo ukiisha unapanga tena kete nimeshuhudia mtaani mastriker wazuri wanavyo gawa dozi.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sasa huyo bibi wa kitanga aliyekushika maskio anayajua haya!!?? Aisee kweli kuku ni kuku mazee, umetoka kusifia sasa hivi halafu unawasha nyingine hapohapo??

  Huyo wa irangi asije akawa mke wangu... ohooooooooo!!
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu fidel,

  Hapa hueleweki. Hebu soma huu ujumbe mwenyewe kama unaelewa. Sasa Geoff aulizwe wa nini? alishuhudia au ndiyo alikuwa mtendwa? Samahani kuuliza maana naona umeandika kwa hara sana.
   
 20. kisale

  kisale Senior Member

  #20
  Sep 24, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unajua nini Fidel!! ukweli unabaki pale pale ya kwamba haya mambo yanahitaji experience ili uweze kuyafaidi vizuri, ukiangalia akina dada wote wanaotajwa wanayaweza mambo utakuta wameanza hayo mambo mapema sana, sijui wakitanga, wamakonde, warangi na hata wazaramo...wote wanafunzwa mambo ya mahusiano wakiwa wadogo sana,na wanaanza hii michezo na miaka 8 mpaka 10, wakijafikisha miaka 20, ndio mtu anaambiwa chungulia dirishani kuna nini nje huku mambo yanaendelea, ukija kwa kwa dada zangu wa Moshi ambao maadili yako mbele, mapenzi wanaanza wakiwa na miaka 20 na kuendelea wanaambiwa ni washamba. hata mimba za utotoni nyingi utasikia kwa wanawake wa kitanga, wamakonde, warangi, wazaramo, wamakua nk.
  kwa hiyo swali la kwanza na la pili yote ni ukweli mtupu, na sababu ni uzoefu wa muda mrefu unamfanye mtu awe mbunifu.
   
Loading...