Recent content by Dan Davine

  1. D

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Point noted hakuna anachokisema kinacho relate na kanisa la kilokole de problem is with ur wife's MInd wat is to be done ni kutibu ufahamu wake ajue kila jambo linawakati wake sio kanisa na hakuna kanisa linalofundisha mwanamke asitandike kitanda au amlee mwanao ipasavyo ila mkeo hajui kutoa...
  2. D

    Ushauri: Natamani iwe mwisho wa mahusiano yangu na huyu mke wa mtu

    I think ameomba ushauri tusimlaumu now coz maji yameshamwagika wat to be done is to look for the way out from that trap
  3. D

    Ushauri: Natamani iwe mwisho wa mahusiano yangu na huyu mke wa mtu

    The same as bro saidi kilichoanzani ulaghai WE NENDA MWAMBIE UKWELI HUYO MAMA KUWA YAMEISHA MAHUSIANO YENU,EPUKA MAZINGIRA SHAWISHI KATI YAKO NA YEYE,IF POSSIBLE SHIFT FROM DAT AREA AS SAID ISHI WEWE KATIKA SHOE DA JAMAA UONE INAKUWAJE KUPIGIWA MKEO NEVERTHELESS LET UR CONCIOUS LEAD YOU TO...
  4. D

    Tuwaunge mkono wataotoa elimu ya Uzalendo

    Tupo pamoja mkuu Mayange inabidi tuunge nguvu kwaajili ya taifa letu mzungu hatakuja kutuonea huruma kama sisi hatutojijali kama nchi
  5. D

    Wizi wa Zaidi ya Bilioni 480 Hazina: Nini kazi ya Upinzani/Bunge?

    Na bado na nchi imeshauzwa mkuu hapa kilichopo ni kumuomba Mungu katika bunge la katiba kujadili rasimu ya pili ya katiba wajumbe wavae uzalendo na mwishowe waweke matakwa ya Tanzania kama nchi na sio kupolitize the whole process ili tuwe na chombo imara kitakacho tu guide watanzania wote
  6. D

    PICHA: Tukio la moto katika chuo cha taaluma ya Polisi Moshi

    It's too much shame hadi Kwenye nyayo za miguuu Aibu hadi Chuo kikubwa hivyo wana tumia pipe ya kumwagilia Maji kuzima moto???????
  7. D

    Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Mweshimiwa Mbowe ni Charismatic leader fast of all second he is full of wisdom kiasi kwamba hata Wakati ambao anahutubia swala lenye kuhuzunisha,kuumiza,kuleta hasira still u will discover that the man hawezi tumia lugha ya kuuzi,kukera wala inayoweza kuleta vurugu, Nikirejea hotuba zake...
  8. D

    Wassira: Tushindane kwa Hoja sio kwa Mapanga na Fujo.

    Ndivo tulivyozoe na system imetengenezwa hivyo kutukandamiza
  9. D

    Wassira: Tushindane kwa Hoja sio kwa Mapanga na Fujo.

    Nyie magari yaliyokamatwa Arusha na Bagamoyo ya vyama vyenu yaliyokuwa na Silaha za Jadi Kama vile mapanga,marungu na sime walikuwa wanaenda kufyeka nyasi????????
  10. D

    Wassira: Tushindane kwa Hoja sio kwa Mapanga na Fujo.

    Hahahahahahaha sioni hoja hapa umeongelea kichwa na tumbo,hutaki kuwa mkweli umebaki kuwa bias with regional barriers(tribes)acheni kuwa waswahili at least tuwe wazalendo hata Mara moja
  11. D

    Wassira: Tushindane kwa Hoja sio kwa Mapanga na Fujo.

    Na bado u vent seen yet,since wameanza bora wamalizie
  12. D

    Wanaofunga Maduka kwa kususia mashine za TRA wanyang'anywe leseni za biashara

    Yaaap Brah ur definitely telling sense most of us Tanzanians hatua ni Kama ni tatizo
  13. D

    Makao Makuu ya CHADEMA yanusurika kuteketezwa kwa Moto!

    "hahahahahahaha hawatuezi itakuwa ngumu kutushikia chini hawatuezi hauya hawatuezi ingawa bei ni ngumu bado anendelea
  14. D

    Hali iliyojitokeza kwenye chaguzi hizi 27 ndiyo Mwisho wa Chadema?

    Try to think beyond the political biased box that ur in sioni Hoja hakuna Million Kama hakuna Mia so hata 1% ni max and as far as uje tumia CDM kujilinganisha t means sisi ni role model wako
  15. D

    Arusha: A libarated zone.

    CDM fellow comrades we give you big up mmetisha wakuu safi sana makamanda namaliza kwa kusema if we need to live as liberals we need to make sure as intellects we r running as fast as possible in the realm of impossibilities to liberate our country
Back
Top Bottom