Habari za jumapili wanajamvi. Mimi kama muumini na mpenda mabadiliko ndani ya nchi hii, napenda kuwaasa watanzania wenzangu tuwaunge mkono watakaotoa elimu ya uzalendo bila kuangalia ninani,wachama gani, wakabila gani, na wadini gani ilimradi itakuwa na manufaa kwa watanzania.
Ukweli nikwamba watanzania wameanza kupoteza imani kwa wanasiasa wetu hapa nchini mpaka kufikia hatua ya mtu wa kawaidi akisema uongo kufananishwa na mwanasiasa.
Naomba kusema kuwa haya yote tumeyasababisha wenyewe pale ambapo tumekuwa tukiwashabikia tu kwa mazuri na mabaya wanayoyafanya.
Mfano halisi kabisa CHADEMA kimejitahidi elimu ya uraia, ambapo tulitegemea watu wangeweza kutambua nani mzalendo na yupi siyo, sasa tumejikuta tumetengeneza matabaka ya ushabiki wa wanasiasa na vyama. Ambapo watu wa upande mmoja watasifia tu hata ambapo kunamakosa huku wengine wakikosoa na kutukana hata ambapo nijambo jema limetendeka.
Hii imefanya wanasiasa wote kunekana waongo, huku wengine kujiona miungu watu, je ukombozi tunautafuta tutaupata kwa hali hii?
Mtu anayejitokeza kutoa elimu ya uzalendo atakuwa anamakosa gani? tusipomuunga mkono si utakuwa ni mwendelezo ule ule wa kuwa kingia kifua walio waongo na waiba rasilimali za watanzania?
Tuangalie manufaa ya taifa na sio watu wala chama flani tena bila kuangalia elimu hiyo inatolewa na nani ilimradi elimu hiyo inamanufaa kwetu.Pia tuwaunge mkono wanasiasa wazalendo.