Recent content by Dan B Cooper

  1. Dan B Cooper

    Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

    Yeah nimeipenda especially pale mwanamke hata kama ni Mama Mchungaji when it comes to faragha kwa mmeo sex imebarikiwa so do like a bitch be like a holy outside the pitch ..your man is a SLAVEMASTER And a Woman Is a SLAVE so be submissive faragha etc
  2. Dan B Cooper

    Droo ya robo fainali kombe la Shirikisho Afrika: Simba kukipiga na Orlando Pirates

    Hakuna cha maana hapo ulichoandika simba watu wazima usitutishie nyau….sisi sio UTO masihara tupo finale kweli team yetu ina madhaifu ila tuna kufa kiume kama Ukraine…mwanaume hutakiwi kuwa muoga hivo kwa mwanaume mwezako….huo woga wenu wake zenu mnaishi nao vipi au! SiMBa NGuvu Moja Tunapita...
  3. Dan B Cooper

    Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

    Nmeiangalia sure izi mambo zipo cuz hata kwene cast wale watu hawafanani majina ya ukoo hata kidgo
  4. Dan B Cooper

    Kifo cha Michael Jackson, ulishasikia kuhusu project ya Human Cloning?

    Angalien CLONING ilivo kwene movie alocheza Will smith inaitwa GEMINI MAN ya 2019
  5. Dan B Cooper

    Ubunifu wa halo ya juu

    Karibuni kwa Ubunifu wa Hali ya Juu wa products kama vile business card, flyers, bronchure, logo, banner, sticker etc Mob: 0657707026, 0626707026 Sinza, Africasana*
  6. Dan B Cooper

    Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    Can anyone explain us about this AREA in detail ???
  7. Dan B Cooper

    Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Waafrika ni wapumbavu sn mtu akitaka kufanya kitu kwa manufaa ya wote bure mna mwita mpumbavu ndo maana hata LIBYA walimuua Raisi Aliye wapa Kila kitu....bure Braza unafel sn
  8. Dan B Cooper

    Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Jamii Forum is all about kujuzana mambo ya yalopita, yaliopo na yajayo so acha kukatisha tamaa watu wanaoelimisha jamii bana
  9. Dan B Cooper

    D.B.COOPER( mtekaji wa ndege aina ya Boeing mwaka 71) : Ushahidi mpya wapatikana

    Yah after more than 40 years huyu jamaa ni zaid hata ya osama
  10. Dan B Cooper

    D B Cooper dollar note!

    Moja ya dollar alizopewa na Americans baada ya kuteka ndege 1971 na kupotelea kusiko julikana wala dollar hazijawahi onekana kwene system since then
  11. Dan B Cooper

    D.B.COOPER( mtekaji wa ndege aina ya Boeing mwaka 71) : Ushahidi mpya wapatikana

    D B Cooper survive from Hijacking but he was arrested by Vehicular manslaughter and he was put to prison in fox river 's prison with his exact name Charles Westmoreland and he played some scenes in Prison Break, Michael scoffied was given his story as he was thinking after escaping from prison...
  12. Dan B Cooper

    D.B.COOPER( mtekaji wa ndege aina ya Boeing mwaka 71) : Ushahidi mpya wapatikana

    I really know this....the man ever happened in this world
  13. Dan B Cooper

    Lengo la BIMA Afrika lilivyogeuzwa Upatu; Utekelezaji wake umekaa kipigaji zaidi ya malengo yaliyokusudiwa

    Fungua Campuni then ondoa hizo barriers zote ikidumu hata wiki mbili hujafilisikia ....kill me Waafrika tumejaa ubabaishaji usipoweka conditions kma hizo kila mtu atafanya fraud ili aje alipwe tu...JF home of Great Thinkers so nakushangaa kaka huja think kabisa
Back
Top Bottom