Recent content by DALUNI

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi kukutana na mwanamke aliyefungwa sehemu zake kichawi? Pita hapa uone niliyokutana nayo ujifunze

    Haya mambo ni kweli kabisa, nakumbuka yalinitokea mara kadhaa kila nikijaribu network haisomi na baada ya kuuliza nikajuzwa haya mambo. ( nilijihisi vibaya network kuwa G badala ya H+)
  2. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    0789585414 au 0713388163
  3. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Masasi kama uko tayari ili nisogee karibu na nyumbani
  4. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kama uko tayari uje Masasi Mimi nko masasi
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mume anahitajika 36+

    Kama umri umepungua kido?
  6. D

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Vip Masasi unaweza kuja?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Tanga raha na nimekumbuka mengi sana!!!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tabia ya mke wangu kunidharau inaniumiza sana

    Muda wasasa sio wa kugombana bwana, acha moyo usukume damu na sio vingine!!! Fanya hela uliyo msomesha umetoa sadaka
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoenda chini ya dakika 30, hivi mnajielewa kweli?

    Mwanaume unamlisha chipsi na mayai ya kisasa unatarajia nini!!!? ila wanawake wengine usafi ni sifuri kabisa inashusha mzuka
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu kutumbua jipu bodi ya mikopo

    Kila siku Tanzania kwa nini!!!? Juzijuzi tu nilisikia wanafunzi wote eti wamepata mikopo kumbe ni uongo kabisa, naomba serekali imulike bodi ya mikopo kwa jicho la tatu (viongozi kusema uongo ni aibu kubwa kwa Taifa)
  11. D

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    Naomba na mimi mnichekie s0908.0014.2005
  12. D

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    Msaada na mimi s0908.0014.2005
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kupanga nae chumba Jordan University, Morogoro

    na mimi nmechaguliwa hapo!!!, kufungua lini kwani?
  14. D

    JamiiForums Tanzania st.jordan university college

    Mmmm na mimi nimiongoni mwao, tujuzane kwa wale wazoefu
  15. D

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wale wote wa NACTE

    Poapoa mulangala
Back
Top Bottom