Recent content by Dallas Dullah

  1. D

    Matapeli sugu wa mtoni Mtongani akina ntunyungu

    Huo ni ubwege 200% inashangaza sana m2 kuhukumiwa alafu unakutatanae kitaani. ndo maana tunataka katiba ibadilishwe ili rahisi apunguziwe madaraka km vile kusamehe wakosaji bila sababu za msingi.....mbona babu sea asamehewi..
  2. D

    Kashfa ya Ufisadi Bandari ya Dar

    Wacha waendelee wataunda kamati mpaka kwenye ndoa za watu.
  3. D

    Nchimb na Mwema Wanasubiri nini Ofisini?

    Wenzangu mnaojitambua naomba msaada katika hili: ''waziri wa mambo ya ndani mh. Nchimbi kwa kupitia televisheni amesema kwamba ...Yule mwandishi wa habari wa channel 10 aliuwawa kwa bomu la machozi" hii ni siasa ua ni nini?????????
  4. D

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Huyo anaeongelea UDINI aache UBWEGE hapa sio OMAN....Mimi mbona MUISLAM na CCM sina haja nayo hata kwa BUNDUKI????????????????? Changia vitu vinavyoeleweka kama hauna HOJA piga kimya....
  5. D

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Ndo manake ikatwe rufaa fasta......majaji wa kibwege kama hawa inabidi kuwaadabisha au?? Sasa kama huyo ridhiwani ndo hakuna anachojua kabisa.....
  6. D

    JAJI wa MAHANGA hakuwa na jinsi...

    Mdau kiukweli ni kwamba..... Tanzania imeshaharibika ukiongea ukweli unatishiwakuuliwa kwa mfano ulichoandika wewe kipi sio sahihi.....maanake ni ushikaji kazini.....chapa mwendo mwanangu ukifa kama mwanaharakati hakuna shida tuko pamoja.....
  7. D

    Wapi tunakoelekea...

    Wadau mnasemaje kuhusiana na maamuzi ya mahakama kuhusu jimbo la segerea...??
  8. D

    Watanzania tupo wap?

    Watanzania wenzandgu, samahani kwa usumbufu! Swali langu ni moja tu, Hivi kuna faida yoyote tunayoipata sisi kama raia wa TANZANIA kutokana na safari za rais :A S angry:?????? ahsanteni sana..
Back
Top Bottom