Recent content by Dalbergia

  1. D

    Jaji Warioba anaishi kwa mlo wa CCM kwanini anaishambulia Serikali

    Kwani Warioba ana cheo gani Ccm?, kwa taarifa tu anaweza kujitoa ccm na bado akaendelea kupata stahiki zate kama PM mstaafu kwa mujibu wa katiba. Kitendo cha Warioba kuwasemea wanyonge mbali na kuwa na marupurupu lukuki!, ni uzalendo uliopitiliza.
  2. D

    Halima Mdee na team yake ndani ya Ukerewe

    Mdee alipofuatwa na wanawake kumshawishi agombee nafasi hiyo, alilia machozi. Nilijua wamemtia moyo kwa kutambua mchango wake kwa chama. Mdee ni mpambanaji asiyejali maslahi binafsi. Niliwahi kukutana na Mdee Katika kijiji kimoja huko Dodoma porini sana, kijiji ambacho tangu uhuru hakuna...
  3. D

    Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

    Nahisi, mwigu alivyo mmafia alikuwa anaingia na madesa ktk mitihani Tu, hakuwa fair kama asivyo fair ktk siasa
  4. D

    Natafuta busness partiner wa kuendeleza shamba la kuzarisha chumvi kwa jua maeneo ya pwani

    Mimi ni mtanzania nipo maeneo ya wilaya ya Mkuranga Pwani. Nimefanikiwa kumiliki shamba/jangwa la kuzalisha chumvi kwa njia ya jua katika maeneo ya pwani ya bahari ya hindi. Tayari nimesha kata leseni ya uzalishaji wa madii ya chumi katika ofisi ya madidi kanda ya mashariki. Tatizo ni mtaji wa...
  5. D

    Uchaguzi wa kata 4 za Arusha waahirishwa tena

    Sasa nimeelewa mwamba watawala wanauogopa uchaguzi wa Arusha. Sasa naanza kuelewa sababu ya bomu kurushwa Arusha siku ya mwisho wa kampeni. Ilikuwa ni kupata sababu ya uahirisha uchaguzi kwa kigezo cha kuto kutengemaa ka hajo ya usalama. Kama sababu ndio hii, basi haikuhitaji kugharimu maisha ya...
  6. D

    Pinda: Bomu lilikuwa la Kijeshi na lilitengenezwa China

    Tena siyo kwenda tu china,ni kwamba alikwenda alikwenda China kwa shughuli za kijeshi ndo maana akapewa na vifaa vya kijeshi ikiwemo mavazi ya ya jeshi la china. Red Army. Hivyo si ajabu miongoni mwa vifaa alivyo chukuwa ni pamoja na mabomu na risasi zilizokutwa mabaki take.
  7. D

    Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare apata dhamana...

    Wanasiasa jifunzeni kumwogopa Mungu, Tanzania ni masikini sana, siasa za vyama vingi zimeanzishwa ili kuongeza chachu ya maendeleo na si kutumia dola kutesea watu. Pole Lwakatare, huo nao ni uzalendo siku Moja watakukumbuka ktk historia, kwamba walikutengenezea kesi ili kuhadaa wananchi na...
  8. D

    Rasimu ya katiba mpya, bado maswali ni mengi, Lisu tusaidie

    Pia ikumbukwe kwamba sisi ni tofauti sana na Kenya, katiba yetu kuwa na mambo yanayo fanana na Kenya haitatusaidia sisi wa Tanganyika kwani katiba ya muungano haina vipengere vya kulazimisha serikali wasirika kufanya au kufuata matakwa ya muungano na ndio maana sehemu nyingimu inaachia serikali...
  9. D

    Rasimu ya katiba mpya, bado maswali ni mengi, Lisu tusaidie

    Hap no wabunge wa kusimamia serikali ya muungano tu, bado kutakuwa na bunge la Tanganyika ambalo bill litakalo Somalia mambo yote ya Tanganika ikiwemo kukusanya kodi na kuwaletea maendeleo watu 40 milioni, hill la muundo wa Tanganyika tume imeliepa na haijulikani litafanyiwa nazi lini
  10. D

    Rasimu ya katiba mpya, bado maswali ni mengi, Lisu tusaidie

    Nikwamba, watu bawaelewi kwamba mambo yote yaliyo ktk rasimu hayahusu serikali ya Tanganyika, hivyo kama hatutakua makini, katiba ya Tanganyika ambayo ndiko kwenye umuhimu tutachakachuliwa. Muungano bila Tanganyika siyo dili, katiba ya kusimamia rasilimali za Tanganyika yenye watu 40milioni iko...
  11. D

    Rasimu ya katiba mpya, bado maswali ni mengi, Lisu tusaidie

    Kwanza, binafsi sikubaliani na jina la Tanzania bara,jina napendekeza jina la Tanganyika kwa sababu Jina la Tanzania linatokana ja muunano wa Tanganyika na Zanzibar. Hinyo kama mnapendekeza kuirudisha serikali ya Tanganyika iandikwe Tanganyika. pili bado sijaelewa namna ya katiba ya hiyo...
  12. D

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    busar ititumiks, kwani thamani ya mtanzania WA mtwara ma WA far ina tofauti, kwanink kila kizuri hadi kipelekwe dar tu.
  13. D

    Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

    Hotuba ya Sugu iwekewe kumbukumbu kwa vizazi vijavyo kwa sabanu so rahisi kuwaambia ukweli watala bola hofu, waandishi WA habari endelezeni alipo ishia Sugu sasa
  14. D

    Eti 60% ya Vijana MATUMAINI yao yapo CCM!!

    huyo mbumge ni mzanzibar, anajipendekeza, ma siku si nyingi mtamsikia kateuliwa serikalini au ccm, kuropoka na kujipendekeza ndio dili kwa ccm ya sass.
  15. D

    Kinana asafishika na tuhuma za uongo

    Bado hajatakata hats kidogo, kwa uchunguzi mdogo Tu, kati ya wachangiaji 25 mtk thread hii Wa mwanzoni, site wamekataa kukubaliana na uteteziwaks
Back
Top Bottom