Recent content by Dalalims

  1. Dalalims

    WhatsApp yalishitaki Shirika la Israel kwa kufanya udukuzi wa mawasiliano ya Wanahabari na Watetezi wa Haki za Binadamu

    Uhuni amefanya Mzungu huko Israel, wewe unamtukana mtu ambae hata hahusiki! Kuweni basi na heshima kwa viongozi wetu.
  2. Dalalims

    Je, muda gani kiafya unaruhusiwa kutumia kilevi baada ya kutumia dawa?

    nash2010, Haifai kwa mwanadamu mstaaraabu kutumia hicho kilevi. Ulevi ni sifa mbaya na ni jambo la aibu. Very short & very clear. Ova .
  3. Dalalims

    AMERIKA KUSINI: Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapitisha pendekezo la kuwa na Mapadri walooa

    Mh, mara hivi mara vile!! Ili mradi akili za mwanadamu zikiachiwa kutengeneza mambo ya dini matokeo yake ni ''kusikika mengi'' Wakati tupo watoto hatuwahi kuhisi kuna siku wataamua na wao waoe, sasa zama zimebadilika.
  4. Dalalims

    Mwanariadha wa Tanzania ashinda medali ya silver katika mashindano ya riadha ya majeshi

    HONGERA SANA KAMANDA. UMETUSAIDIA KUJENGA HESHIMA YA MTANZANIA DUNIANI
  5. Dalalims

    Katavi: Mkuu wa mkoa akanusha kusema anataka wananchi warogwe ili wapige kura

    HATA MIMI NILIJUA TU KUWA SI JAMBO LINALOWEZEKANA KWA KIONGOZI KUSEMA YANAYOASHIRIA KUAMINI KTK UCHAWI. NI KWELI MKUU ATAKUWA AMEZUSHIWA.
  6. Dalalims

    Mhalifu mwenye silaha auawa baada ya kushambulia gari la Polisi

    Hata sijaelewa, tukio hilo la hao wahalifu kuulowa na polisi mbona haionekani limetokea nchi gani?
  7. Dalalims

    Marubani wa Southwest Airlines waripotiwa kutumia kamera za siri zilizowekwa vyooni kuwachungulia abiria

    HAO NDIO WADHUNGU NA V2KO VYAO! YAANI NI WATU WA SHARI SANA,
  8. Dalalims

    Amnesty International and Human Rights Watch: Hali ya ukandamizaji wa vyombo vya habari, watetezi wa haki za binadamu na vyama vya upinzani waongezeka

    Hawa Amnesty siku zote wanatoaga ripoti za kuchonganisha watu. Hebu watuache, watanzania tupo shwari hatuna shida na ripoti zao sio muhimu sana
  9. Dalalims

    Katavi: Mkuu wa Mkoa awapa kazi waganga ya kuwaroga wananchi

    HAYO MANENO YA KUROGA NI KWELI HUYO KONGOZI KATUMIA ? AU NI WATU WAMECHOMEKA? MIMI SIAMINI KAMA ATAKUWA AMESEMA HIVYO. KWA SABABU SERIKALI KWANZA HAIAMINI KTK UCHAWI WALA HAIFANYI KAZI KICHAWI , WALA HAIHITAJII MISAADA YA WACHAWI. ISTOSHE UTAMADUNI WA MAMBO YA KICHAWI NI UTAMADUNI TUNAOTAKIWA...
  10. Dalalims

    Watatu kizimbani kwa kuiba tausi wa Ikulu

    WAPIMWE DAMU ZAO HAO, INAWEZEKANA WANATUMIA POMBE AU BANGI. UNAENDA KUDOKOA IKULU!!!?????? AKILI ZAO HAZINA AKILI ! KAMA NI KWELI WAPATIWE ADABU STAHIKI
  11. Dalalims

    Wapinzani nchini Rwanda wapinga mpango wa nchi hiyo kuingia kwenye teknolojia ya nyuklia

    HAYO MANYUKLIA KTK UKANDA WETU HUU WA EAST AFRICA HATUYATAKI KABISAA. WAZUNGU WAO WANATAFUTA ARDHI YA KU-DUMP UCHAFU WA NYUKLIA, SASA LANBA HAO JIRANI WATAKUBALI. DAAAH ATHARI ZITAKUJA KWETU PIA DEFINATELY
  12. Dalalims

    Benki ya Dunia: Vikwazo 12 vya kufanya biashara Tanzania

    Hata Hata ufanyeje huwezi kumfurahisha mwamerka kwa asilimia mia
  13. Dalalims

    Mwanamke kumtongoza mwanaume na tamaduni za Kiafrika

    Sasa naona kama Mmekosa mada za maana za kujadili
Back
Top Bottom