Recent content by Daktari Mollel

  1. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wa dar mnafanya kazi saa ngapi?

    Hahahahahahaha
  2. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchepuko

    Good job Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

    Wewe ndo tafsiri yako iko tofauti na nimchochezi kila kitu unatafsiri tofauti. Tunaomba mkojo wako tuupeleke kwa mkemia tugundue tatizo lako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Majeruhi wa mapenzi, tushauriane tufanye nini

    Yaani ni sheeeeda na mi sijui kama ntapendaga tenaaa, uenda nikaishia kutamani only!
  5. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Jamani Vipi Hali ya Vengu?

    Afadhali mmemkumbuka maana hata hakumbukwi jamani
  6. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Natamani mungu angenibadilisha niwe mwanaume

    Muombe Mungu msamaha
  7. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere aling'oa reli ya Dar-Lindi, Mtwara, Nachingwea?

    Kwa kweli hiyo itakuwa ni ndoto hakukuwa na reli hiyo
  8. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania confession: Umewahi kupigwa kibuti na Mpenzi wako??..... tuambie yaliyo kukuta.....

    Kibuti kinauma jamani hata kula inakuwa shida unaweza uchanganyikiwe
  9. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Sijawahi muona kavaa hizo sare ila alikuwa na maana yake ya kutokuvaa
  10. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa kudeal na Cheatting Partner/Husband! The Must Dos incase huondoki/humuachi!

    Mi pia nachitiwa na yfe mbaya na najua ila napotezea tu
  11. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hivi

    Labda mlishakwaruzana kwa mengine kwani haiwezekani kukataliwa halafu uchukie mapenzi haya hayalazimishwi ukinuna maana yake unalazimusha
  12. Daktari Mollel

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hivi

    Huyo atakuwa na mambo yake mengine tú si Kwasababu kakasirikiwa
Back
Top Bottom