Recent content by Daizy

  1. Daizy

    JamiiForums Tanzania Is water fasting real?

    Mkuu, inamaanisha hata usipokula kwa siku 20 kila kitu kitaenda kawaida??
  2. Daizy

    JamiiForums Tanzania Is water fasting real?

    Hahaha... Haushit[emoji3] [emoji3]
  3. Daizy

    JamiiForums Tanzania Is water fasting real?

    Wakuu, nimekua nikisoma forums nyingi huko google kuhusiana na hii kitu "water fasting"...kuna wengine wanasema mwanadamu hawezi kumaliza siku tano kwa kunywa maji tu atakufa. Wengine wanasema mwanadamu anaweza kukaa hata siku 60 akiwa anakunywa maji tu na asife! Je ukweli upo wapi hapa?
  4. Daizy

    JamiiForums Tanzania Wanawake Sometimes

    Unatunza?
  5. Daizy

    JamiiForums Tanzania Wanawake Sometimes

    Mpaka unipende manake nina matunzo asa kwa nini nikupe halafu usinitunze? [emoji17][emoji17]
  6. Daizy

    JamiiForums Tanzania Waliopangiwa UDSM soma hapa itakusaidia

    Chumba kiko Mabibo au main campus?
  7. Daizy

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kulekea vyuo vikuu 2016/17

    Duuu... We mtu umenichefua
  8. Daizy

    JamiiForums Tanzania Chumba UDSM main campass kwa wasichana kinahitajika

    Dah... Nina barua ya ugonjwa nataka niipeleke leo.. Sasa najiuliza nipeleke kwa daktari kwanza au naipeleka kwa USAB manager kabisa?
  9. Daizy

    JamiiForums Tanzania HESLB: Kuanzia mwaka huu wa masomo, wanufaika wote wa mikopo watakopeshwa kulingana na uwezo wao

    Aliemaliza form four 2013 anaanza first yr mwaka huu... Hayuko chuoni bado
  10. Daizy

    JamiiForums Tanzania Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  11. Daizy

    JamiiForums Tanzania HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    Yani we jamaa... Full kuvunja mioyo ya watu.. Sijui ukoje[emoji20] [emoji20]
Back
Top Bottom