Recent content by Daily vision

  1. D

    Nunua "used" ndege (Aircraft) Hapa

    kaka maguruneti serikali itakusumbua utahama ww utahamia gerezani dawa ya jirani mkorofi ni hii NUNUA PILIPLI KICHAA KAMA KILO MOJA IKAUSHE KABISA,CHUKUA KOPO YALE YA RANGI AU JINGINE LOLOTE WEKA MKAA ULIOWASHWA ONGEZA UKAA KOPO LIFIKIE NUSU USIKOLEZE NENDE KARIBU KABISA NA NYUMBA YA JIRANI...
  2. D

    Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    tamaa zimemponza atafute kazi nyingine kajimaliza kisiasa mwenyewe
  3. D

    Barabara mpya ya Msata-Bagamoyo inasambaratika hata kabla ya ufunguzi

    hawa jamaa hawana uruma kabisa na watanzania barabara zilizo chini ya kiwango zimekua ni kaburi la watanzania wenzangu barabara mbovu kama hii leo huko iringa imeangamiza watanzania wasiokua na hatia sijui wataifikisha wapi hii tanzania MUNGU IBARIKI TANZANIA
  4. D

    Tazama mpangilio wa ovyo wa jiji la Dar

    unadhani upo sahihi bwana mdogo ?
  5. D

    Kapuya; Nihurumieni jamani

    tumia akili ww tabu lalasa umeona KUSEPA nini neno baya kuliko huyo fisadi fataki kufanya ngono ,Uzinzi wakati anandoa yake mm maamini hata ukijitaidi kumsafisha kiasi gani hasafishiki yuko hoii ben taabani na amekaka kimya nyie wapambe na shida zenu njaa zitawaua
  6. D

    Kapuya; Nihurumieni jamani

    kaka maisha yamekushinda kwa sasa kapuya yuko hoiii hawezi hata kukuweka kwenye serikali za mitaaa ni bora ukaacha kupiga domo humu ukaenda kwake atakupa kazi nzuri kupika ,kufua,kuosha viombo full house girl siunajua mahouse girl same time wanamiliki nyumba jaribu umaweza ukamiliki gorofa...
  7. D

    Kapuya; Nihurumieni jamani

    Kaka umeshachelewa maisha kapuya kwa sasa hana uwezo hata kukuweka kwenye serikali za mitaa ni bora ukaenda kwake kwanza anakujua anajua ulichokifanya atakupa kazi nzuri za ndani angalau maisha yatabadilika kidogo
  8. D

    Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

    Pole sana mwalim alikuwa anatekeleza maagizo ya waziri mkuu (PIGA TUU)hawa police wameshazoea kupiga raia kunasiku watatafuta pa kuishi hawakumbuki kuwa hawana nyumba tunakaa nao mitaani kule mtwara wote walilala juu ya paa la kitua cha police yashukuru jwtz
  9. D

    Jaji Mstaafu Hillary Mkate kuzikwa leo

    Mungu akuweke mahali unapostahili
  10. D

    Vipande 706 vya Pembe za Ndovu vyakamatwa Jijini Dar nyumbani kwa Wachina

    Baada ya madawa ya kulevya kukamatwa Africa kusini Mwakembe alikwenda uwanja wa ndege akamkamata teja sijui kama hata alikuwa na passiport leo kagashek amekuwa police hadi anabisha hodi kwa mchina anakamata meno ya tembo wakati wa oparation hawakuona hata mizoga ya tembo waliona ng'ombe na...
  11. D

    Waziri amos makala aibiwa gari na mbunge stephen ngonyani (maji marefu)

    Tangu biashara ya sembe ilipogundulika mambo yanaanza taratibu mara gari bmw X 5 hapo tanga huitaji viza ni kwenda kuichukua tu unaogopa nini ? au ataweka mambo hadharani mambo yameanza kwenda mrama sasa tunasubiri samaki mkubwa atamla mdogo au kilio cha samaki machozi ndani ya maji
  12. D

    Ushuru wa magari msaada

    Ni bus ya zamani sana achana na hiyo biashara usiagize gari iliyotumika zaidi ya miaka kumi utakuja kulia
  13. D

    Nisaidieni namna ya kuonana na mh. Ridhiwani kikwete

    Ww ni muislam ? Je ? Unatokea bagamoyo au chalinze ? Kama ni masuala ya kazi kwenye gesi nafasi zimekwisha usaili wa mwisho ulikwisha last week kule lindi
  14. D

    Nisaidieni namna ya kuonana na mh. Ridhiwani kikwete

    Ww ni muislam ? Na unatokea chalinze au bagamoyo?
  15. D

    Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

    Pole sana kaka lazima ujichunguza kwanza mwenyewe wewe ni jembe na linajua kutifua kweli kweli kama uko poa fanya ivi take at easy kumbuka uoga ni dhambi chukua maamuzi huu tafuta mwanamke mwingine songa mbele usiangalie walimwengu watasema nn
Back
Top Bottom