Labda Niungane Kidogo Na Mleta Mada Kuwa Tofauti Ya Israel Ya Sasa Na Zamani Ni Geographical Area,kusema Israel Ni Fake Lazima Ukwame Mahali From Religious References,and Historical References,kwa Wengi Waliosoma Peagent Of The World History Hawatakubaliana Na Wewe Kabisa
Mwigulu Nakuomba Usiwaamin Watu Wa Karatu,2010 Walijaa Wote Na Nguo Mpya Za Ccm Mbele Ya Jk Akafurah Kweli Lkn Kumbuka Matokeo Yalikuwaje,si Watu Wa Kuwategemea Kuletea Ccm Ushindi,wakija Kwa Wingi Wana Lao Jambo!
Mahakama Imzuia Fedha Hizo Za Malipo Ya Iptl Mpaka Mgogoro Kuhusu Capacity Charge Toka 2002 Upate Ufumbuzi,maana Ikibainika Iptl Wameibia Tanesco Hzo Fedha Overcharge Toka 2002 Zitakatwa Kutoka Escrow Account Kwa Hyo Anayedai Hamna Fedha Za Umma Hazipo Kwenye Account Ya Escrow Anapingana Na Kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.