Natafuta Mume mkristo

Natafuta Mume mkristo

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30,elimu chuo kikuu,nimeajiriwa na nina mtoto mmoja.

Natafuta mume mwenye hofu na Mungu,upendo wa dhati,elimu chuo kikuu,awe ameajiriwa au kujiajiri,mrefu futi 5.9 mpaka 6.,mkristo.

Tuwasiliane kupitia PM.

Heee.Na sisi wenye ft 6.1 ;ndo tumekoshakosa mchumba
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30,elimu chuo kikuu,nimeajiriwa na nina mtoto mmoja.

Natafuta mume mwenye hofu na Mungu,upendo wa dhati,elimu chuo kikuu,awe ameajiriwa au kujiajiri,mrefu futi 5.9 mpaka 6.,mkristo.

Tuwasiliane kupitia PM.

Kila laheri bibie
 
Unataka Aliyefika Chuo Kikuu? sasa asiyefika vipi unamuona Mjinga? basi huyo unayetaka aliyefika Chuo Kikuu akuchukue wewe mwenye Mtoto tayari tena kwa Operation... atakuwa mjinga kiasi gani? nakupa pole... ila usikate Moyo waeza pata Mjinga kama wewe
 
Moja:: miaka 30 ni umri wa kuolewa

Mbili:: je una hofu ya mungu,,? kama ww huna hofu ya mungu basi hata ww ukiolewa na mtu asiye na hofu ya mungu mtaendana sana...

Tatu:: wewe una mtoto,, umri wake? Maaana kwa uelewa wangu mdogo ni lazima huyoo mwanamume aanza kumpenda huyoo mwanao,, hapo unaweza kudhibitisha upando wa huyoo jamaa kwa mtoto na kwako pia,, ili mtoto asiwe kikwazo cha ndoa na mahusiano yenu...

Nne:: kwenye urefu hapo,, mbona ww hujasema urefu wako,,, huoo urefu unao utaka nina mashaka nao #vp unataka kusajili mcheza kikapu au.. Hehe ( jus kiddin )
 
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 30,elimu chuo kikuu,nimeajiriwa na nina mtoto mmoja.

Natafuta mume mwenye hofu na Mungu,upendo wa dhati,elimu chuo kikuu,awe ameajiriwa au kujiajiri,mrefu futi 5.9 mpaka 6.,mkristo.

Tuwasiliane kupitia PM.

Nitafute Kwa Namba 0767868939
 
huyu atakua ni rayc huyu hadi insta kaandika hivi hivi na futy kama anataka achonge jeneza
 
Nyakati za mwisho zitaonyeshwa kwa ishara nyingi....Mojawapo ni hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom