Recent content by dagii

  1. D

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Madale wamechukua tokea asubuhi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Ukipata disco ya chini ya km 70000 unauhakika wa kukaanayo miaka 5 bila kugusa jiko
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nilichijifunza royal engagement party

    Tafuta pesa br,hawana njaa hao hahaahaa
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

    Hajajaa,shida ndio zinafanya wawe hivyo,hujamuona wa jana kawaachisha watoro shule ili wamsubiri Yesu?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Hivi kweli nduhu,upo radhi utoe m43 kununja Vanhard uache discovery 3 kwa m 35?? Embu tuache utani,wakati nanunua vw tiguan nilitishwa sana yaani,sahv chuma ina mwaka wa tano sijagusa kitu zaidi ya svc baasi,tutafute pesa hakuna gari mbovu
  6. D

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Moroko wamepeleka ndege zaidi ya 12 kwaajili ya mashabiki tu,na zimerudia mara kibao tu,unategemea wachezaji watakosa hamasa? Sisi wameenda wanasiasa tu usitegemee maajabu
  7. D

    JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Wenzetu kila anaye ingia ni kutoka ligi za wenzetu,sio shaka tusitoke hata na goli moja mashindano haya
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo kama ngoma yaani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tamaa mbaya

    Bonge la uzi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Umaskini nimbaya sana nduguzangu,hakuna gari baya,kumbukeni expertie wamethibitisha liuzwe internations,so ubahili wako usisingizie wengine,nina br ana disco 4 ,mwaka wa nane sasa hajawahi gusa jiko zaidi ya svs na kwenye tairi,pads baasi,sasa utasemaje ni gari bovu??? Tutafute pesa.chuma anayo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tusijenge majumba makubwa tukistaafu yanachangia upweke

    Saaa forofa langu itakuwaje
Back
Top Bottom