Kaka hauko serious miezi 7 tayar madawa ya kimasai hospital zipo ila hilo ni tatizo letu watz kwanza unajaribu vya mitaani yakifika shingoni ndo unapajua hospital sio sawa kabisa ni mazoea mabaya sana
Kwanza maswali kaacha mengi sana.
Ameenda hospital binafsi au ya serikali?
Mtoto alikua anaumwa nini?
Pengine kaenda binafsi ye aliskia tu watoto bure lazima limkute hilo.
[emoji848] andika na faida zake basi ili tuone kweli làana nadhani hakuna kazi ambayo haina risk na hizo ambazo umeweka hapo zinaingia sehemu nyingi mfn udereva wa basi,malori n.k
Duh! Kweli uchawi unatesa sana jamii zetu ila sijui ni mawazo yangu tu kwanini wanaolalamika kuhusi hizi ishu wengi ni fukara na ambao kidogo shule imepita mbali.(Narudia tena mawazo yangu)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.