Recent content by Dadykiller

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

    😂😂mkuu hamna muendelezo?nmechela sanaa walah
  2. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

    Inaonekana we mshamba mshamba tu ndo maana wakaona wakutoe due kama hakukuwa hata na maelekezo ya kuwa meza Iko reserved ..waliofanya kukuonea tu...aitha kwa muonekano au dressing code
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Elements Club (Masaki) kuweni na adabu. Mna madharau na kiburi

    Tushawah apo next ake samak samaki....faru john tukaambiwa elf 50...ndo nkajua kuna haja tutafute Hela kwanza kabla ya kwenda sehm zenye hadhi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Haki kisha kabla mtoto wako hajafika chuo wamefanya hili

    Autocorrect siku izi wanam refer bambo nini?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii Nacha mbona anaimba vitu serious sana. Je, kafanikiwa kuishi robo ya anachokiimba?

    "Huna unachomiliki zaid ya application ya mange"hii verse Ina ma bleach kama imeandikwa na pacome...yuko vzur
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndoa zitakuja kuua watu… dah!

    Dondrake said
  7. D

    JamiiForums Tanzania Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Hahahahahahahaha...mbona hukusema ndo kisasi Cha Iran ili tukucheke?Leo kaufyata ndo unajiokotezea tu vitukio ili kuifariji nafsi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Leo nimepigwa faini kwa kosa la kutosimama kwenye Zebra

    Kama mwanza ndo hawajal kabisa...jana ilikuwa nane nane na magar yakikuwa mengi ukizngatia na barabara yenyew ni uchochoro ila kuna zebra crossing moja iv yaan greenligh inawaka ila magara yanapita tu...kama si msaada wa traffic kuingilia kat watu wangesimama hata saa nzima
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia haina huruma, Vijana tunapitia mengi sanaaa kwenye huu Ulimwengu. Soma hii Mikuki

    Ili ujue wanawake wa humu ni WA dizain hyo hyo...cheki walivyopiga kimya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

    Nipo chini ya miguu yako...PM inapokea video zote
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    Tusichape tu wakuu..hii kuoa hamna alieoko tayar...c wa kike Wala kiume
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bamia ni muhimu wadada wenzangu!

    Kupandishana minyege tu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi Yanga Day Ovyo Kabisa

    Kichekesho ni one minute of silence kwa Manji katikat ya mchezo wkt ki itifak ingetakiwa liwe katika matukio ya tamasha lenyew
  14. D

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Shenz kabisa ...naskia makelel huko yatakuwa yamechomoa
  15. D

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

    Mchezaj wa team gan kala umeme?
Back
Top Bottom