Recent content by Dadiz

  1. Dadiz

    Orodha ya wabunge wa CCM waliomba kuteuliwa kugombea Unaibu Spika

    David KIHENZILE ndiye NAIBU SPIKA hapo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
  2. Dadiz

    Dkt. Hamis Kigwangalla achukua fomu ya kugombea Unaibu Spika

    David Kihenzile, Mwenyekiti wa Bunge anafaa kwenye hiyo nafasi
  3. Dadiz

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kama Mama aliona shida kubwa ya Ndugai ni race ya 2025, basi itakua hivyo pia kwa kiongozi yoyote wa muhimili kutoka kwenye Generation ya kina Ndugai, kulewa kiti na kuanza kuuwazia uRais 2025....Damu changa inahitajika kuongoza mhimili huu kwa sasa hivyo kwangu ni: 1. David Kihenzile - ni...
  4. Dadiz

    Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Kama Mama aliona shida kubwa ya Ndugai ni race ya 2025, basi itakua hivyo pia kwa kiongozi yoyote wa muhimili kutoka kwenye Generation ya kina Ndugai, kulewa kiti na kuanza kuuwazia uRais 2025....Damu changa inahitajika kuongoza mhimili huu kwa sasa hivyo kwangu ni: 1. David Kihenzile - ni...
  5. Dadiz

    Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    Non sense!!! Acha kuishi kwa kukariri aisee.....Wewe endelea kuita upuuzi na sisi tunaendelea kuonyesha umahiri wa vijana wachache wa Kitanzania wanaofanya moves beyond their limits.
  6. Dadiz

    Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    George Michael Uledi. Tabora, Tanzania. June, 2021 Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake...
  7. Dadiz

    Tanzania Redcross bado kwafukuta

    Wiki mbili zilizopita tuliandika waraka mfupi ambao ulilenga kufichua njama za baadhi ya watendaji na viongozi wetu wanaokesha kuhujumu chama chetu cha Redcross. Leo tunaandika tena kwa ufasaha zaidi na tutajikita katika maeneo sita kati ya maeneo 21 yaliyopo. 1. Hoja kuu inayotafuna chama...
  8. Dadiz

    Red Cross Tanzania kwafutuka tena

    Taarifa zilizotukia hivi punde ni kuhusu kundi la vijana wapatao 11 wameanza mchakato wa kimya kimya kuomba serikali iingilie kati kuwalazimaisha viongozi Redcross kuruhusu uchaguzi ufanyike ama la uongozi uliopo uvunjwe na kiundwe chombo huru cha mpito kuongoza chama hicho. Inaelezwa kuwa...
  9. Dadiz

    Mwanjelwa, Ndugai, Sugu tulieni

    Ndugu wana jamvi, kwa kipindi kifupi nimekuwa nikifuatilia kinachoendela ktk mitandao ya kijamii! Awali tuliona andiko la Mwanjelwa ambaye amekuwa akilalamikia kuingiliwa na Naibu Spika Dkt Tulia kwa kuita wajumbe viongozi wanawake na kuwapatia semina yenye lengo la kuwapatia elimu ya kiuongozi...
  10. Dadiz

    Watangazaji wa Clouds punguzeni kujiona mmefanikiwa sana, ninyi ni mafacilitator hamuwezi kuwa mnajua kila kitu

    Honestly mtoa maada alikua analenga jambo lingine kabisa juu ya ujuaji wa watangazaji wa clouds kwny maswala ambayo ni too professional...ila wananzengo kwenye comment wamekuja na return kubwa sana wa wivu on personal life ya watangazaji. Maswala ya mishahara plus magari nadhani ni ya mtu...
  11. Dadiz

    Msaada juu ya ku-unlock network iphone 6 plus

    Depends na unanlock kwa njia ipi mzee....costs hazifanani
  12. Dadiz

    Msaada juu ya ku-unlock network iphone 6 plus

    Habari wakuu...nina iphone ya kutoka UK iko locked kwnye vodaphone UK NETWORK,kwa anayejua njia za kuifungua naomba msaada please. Kama ni kuorder online unlocking service kwa 3rd party companies...naomba recommendation ya best place to order. Naomba kuwasilisha wakuu🙏🏽.
Back
Top Bottom