Recent content by dadeez

  1. dadeez

    Nataka kuuza hisa zangu, Utaratibu ukoje?

    Namm naufufua huu uzi kwa kuuliza nataka kuuza hisa zangu za nmb kupitia simu (nmb mkononi au mpesa) kila nikijaribu kesho yake nakuta oda rejected nimejaribu mara nne sasa.. broker anaitwa Exodus advisory services ltd.. 😪 sijui tatizo ni nini?? Msaada please
  2. dadeez

    Nifanyeje Kupunguza Gharama za Milango?

    Nenda sinza mori ile njia ya kwenda mabatini.. moja kwa moja mbele kulia kuna vitu used kibao mbao milango madirisha makubwa ya maofisini yamejaaa kibao.. mbao za kila aina mninga, mvule n.k bei chei
  3. dadeez

    Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

    Yupo huko HAI kilimanjaro
  4. dadeez

    PreGE2025 Ofisi ya Msajili yatengua uteuzi wa wajumbe 8 wa sekretarieti na kamati kuu ya CHADEMA walioteuliwa na Tundu Lissu

    Mie sio wao!! Ila kanuni inamruhusu sabab akidi haikufikiwa kama inavyotaka kanuni.. 75% ya wajumbe wawepo kwenye kikao sasa walifikia 50% tu.. sabb ye msajili wa hcho chama kuna taratibu za kuwatambua wajumbe wa sekretarieti na kamat kuu. SHERIA NA KANUNI.. na Mnyika mbona amejibu vizur kwa...
  5. dadeez

    Ferdnand Ndikuriyo (Chuma cha Chuma) ashindwa tena masharti ya dhamana, arudishwa Rumande

    Kutakua na kitu zaidi ya kuwepo tu nchini..labda jamaa ameshtukiwa alikuja na plan hatarishi
  6. dadeez

    Nilivyonusurika kutapeliwa mtandaoni

    Hujaelewa kijana halafu muombe akueleweshe wewe sio atueleweshe sote.. usitujumuishe kama haujaelewa sio mambo yako haya.. acha ujuaji
  7. dadeez

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Kaka kwema, nimeona hii LBL inazidi kumea na imekua registered brela.. wamefungua ofisi hapa Tanzania moja ikiwepo koani morogoro na baraka inapata toka kwa waziri wetu wa fedha.. nini maoni yako kabla sijajiunga maana tayar nimeshawishika.
  8. dadeez

    Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    VIpi kuhusu mbwa mbona hamuwataki huko zanzibar, kama kila mnyama anayo haki ya kuishi??
  9. dadeez

    Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Hii video ni ya muda mrefu saaanaa.. na sidhan kama ni Tanzani ama labda mpakan mwa nchi jiran.. ila video ya zaman ishazunguka sana mitandaoni.. mkuu sijui ulikua wapi??
  10. dadeez

    Blog ina miaka 2 lakini hali mbaya!

    Nitafute tushirikiane nina idea nzuri upande wa entertainment.. naamini nzuri sana na yatofauti, itafanya vizuri sana.
  11. dadeez

    Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

    Umeongea point sana sana.. rulitakiwa tuangazie hayo maeneo lkn wengi wetu tumeshikilia tu usalama usalama
Back
Top Bottom