Recent content by dadapesa

  1. dadapesa

    Mnanishaurije maana mimi sielewi

    Weeee tupo makini siku hizi
  2. dadapesa

    Tupe updates za athari za mvua hapo ulipo

    Kimara matosa, darajani maji ya kutosha,barabara hazifai
  3. dadapesa

    Natafuta Mtima wa Moyo

    Kila lakheri mkuu
  4. dadapesa

    Jinsi ya kuweka akiba kwa wale tunaoanza maisha

    Kutembea kuanzia kimara hadi ubungo,
  5. dadapesa

    Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

    Watu wengine comment zao hadi zinakatosha tamaa
  6. dadapesa

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Hajui,tena hao ndio wenyewe
  7. dadapesa

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Hata familia za shiriki na ushirikiana ni masikini haifai,
  8. dadapesa

    Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

    Pita hivi,wengine inanoga tunafatilia mwanzo mwisho labda mwandishi atusaliti
  9. dadapesa

    Tetesi: Rais Samia, kama kuna upendeleo huu wa kielimu kwa Wasichana utaliangamiza Taifa

    Wavulana wana muda mwingi was kujisomea, wasichana wakurud shule wanakaz pia za familia na kulea wadogo zao .mi nakumbuka kipnd hicho nikirud hom mama hayupo nitakuta mivyomboo ya Jana usiku na kutwa yote nioshe then niingie jikon, kaka akirud anaenda mpiran
  10. dadapesa

    Huyu ndugu yangu wa damu ananitia aibu sana kwa ulevi uliokithiri

    Nyie watu ndio mnaniachaga hoi, kwann umehisi ni Mimi.
  11. dadapesa

    Huyu ndugu yangu wa damu ananitia aibu sana kwa ulevi uliokithiri

    Kwakweli, mama ake karibia atakufa na presha
  12. dadapesa

    Huyu ndugu yangu wa damu ananitia aibu sana kwa ulevi uliokithiri

    Hata sielewi inatokana na nin,kwann wanashindwa kuacha
  13. dadapesa

    Huyu ndugu yangu wa damu ananitia aibu sana kwa ulevi uliokithiri

    Na akiwa hana hela utampenda hadi jumuiya anaenda
  14. dadapesa

    Huyu ndugu yangu wa damu ananitia aibu sana kwa ulevi uliokithiri

    Hamjambo? Niende kwenye mada; Nina ndugu yangu wa kiume(27), yaani ni mlevi haifai, akishaanza kunywa atahakikisha anakunywa hadi pesa aliyokuwa nayo inaisha yote. Sasa aibu inakujaje? Akishalewa kwanza anakuwa na maneno fulani yasiyofaa, ya hovyo hovyo, ya aibu aibu yakutia aibu sana...
Back
Top Bottom