Recent content by dadanga

  1. dadanga

    Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    majina mmeyatoa wap jamani?
  2. dadanga

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Mbona Salum Hamduni huwa yupo smart ,haya yametoka wapi Tena?
  3. dadanga

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Mbona nchi ina watu wa ovyo kama wewe ,hoja kuu ni kwamba kwanini mtu akuwepo kwenye written lakini jina limetoka kwenye oral ?
  4. dadanga

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    ingia website ya PCcb udownload Walioitwa Written na Walioitwa Oral utaelewa kitu gan ,namaanisha ,source ni website yao
  5. dadanga

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    document yao ipo ya written iliyotokaga na oral ipo ni suala la wewe kucheza na Excel tu hapo too simple unapata majibu
  6. dadanga

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Majina ya watakaofanya oral ya pccb yalitoka yakiwa na changamoto kadhaa ikiwemo watu kurudiwa rudiwa mara mbili ,hilo walikuja wakalitolea majibu ,tunaomba pia mtolee majibu na hili kwa mtu ambae hakuitwa Written Interview Ila jina lake limetoka kwenye Oral interview ?
  7. dadanga

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Pccb jitokezeni mfafanue na hili ,inakuwaje mtu jina halikutokea kwenye written interview lakini kwenye oral interview limetokea
  8. dadanga

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mm mbona na gamba nimeachwa Kuna vitu vingi wameangalia hawa labda ,maana hadi la anti corruption ninalo
  9. dadanga

    Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

    samahani kwenye ile fomu kuna sehemu inahitajika ujaze taarifa za mzaz mahali alipo mfano Baba ,Ila haijatoa option kuwa kama labda mojawapo ya mzaz ashafariki ,je Kama mzaz ashafariki inabidi hicho kipengele uachane nacho bila kukigusa ?
  10. dadanga

    Series ya Sinia na Huba anisaidie

    Mwenye season ya Sinia na Huba naomba anisaidie kuzipata ,shukran.
  11. dadanga

    Kompyuta za Fujitsu ziko bora kwa matumizi ya video library kabla sijaichukua

    Nilikuwa napenda kuwauliza Kama kompyuta za Fujitsu ziko bora kwa matumizi ya video library kabla sijaichukua
  12. dadanga

    Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    Habari ,huwa Mara nyingi naotaga vinyesi au vyoo vikiwa vichafu havijasafishwa ,hii ndoto ina maana gani
Back
Top Bottom