Kompyuta za Fujitsu ziko bora kwa matumizi ya video library kabla sijaichukua

dadanga

Member
Jan 27, 2019
63
47
Nilikuwa napenda kuwauliza Kama kompyuta za Fujitsu ziko bora kwa matumizi ya video library kabla sijaichukua
 
Ubora wa computer hautokani na Brand Bali vifaa vya ndani vilivyotumika kama processor, ram, storage, power supply etc.
 
Back
Top Bottom