Recent content by dada mwema

  1. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho, nimeamua kuachana nae maana nimezichoka tabia zake

    Utabembeleza hadi lini? Huyo anaewaza kubembelezwa nae utoto mwingi...kubembeleza huja tu lkn cyo kujifanyisha kila wkt
  2. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho, nimeamua kuachana nae maana nimezichoka tabia zake

    Nimemuelewa mtoa mada vyema, yupo sahihi atulize moyo na akili yake upuuzi mwingine cyo kabisa mkuu....hahahaaa
  3. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho, nimeamua kuachana nae maana nimezichoka tabia zake

    Upo sahihi kabisa, moyo ukiumia sana hata uwe no ya MTU hujigusi wala huwezi kumbka chchote...upo sawa%mia
  4. dada mwema

    JamiiForums Tanzania Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JF

    Amen,,,,,the same to u
  5. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JF: The only place you can meet real beautiful women

    Asnte saaaana mshana
  6. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu zangu za kuchepuka, je za kwako ni zipi 2017?

    Aaaaaah ulisema ktk shida, na raha na ktk kauli zako unamwelezea ukitaja "mke wngu" so komaa na hali yako
  7. dada mwema

    JamiiForums Tanzania Dr. Shika ni Mwana JF mwezetu

    Uuuuwiii
  8. dada mwema

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

    Hata wenye Kazi tunafanya shughuli za ziada baada ya saa za kazi tena Kwa mitaji midogo, mno yote nikukwepa madeni madogo yasiyoyalazima. Tatizo vijana wengi wasomi wanaogopa kufanya shughuli flani flani eti wataonekaje ili hali wamesoma!!!!! Na wanataka kuanza na mitaji mikubwa...kumbuka mtaji...
  9. dada mwema

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Umri unaenda sina ninachomiliki

    Ni wazo zuri kama ana mahusiano mazuri na mzazi mwenzie anaweza kumuinua akafika mbali hata hiyo ajira asiione ni kitu
  10. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

    Sasa kumbe umeshaamua kurudisha hadi mahari sasa unataka ushauriwe nn?????
  11. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simpendi nataka kuachana naye ila sijui namwachaje?

    Yaani kama kuna watu hawapo serious ni pamoja na mtoa mada...yaani ukae ma mtu mwaka mmoja hadi mitano humpendi? Mpaka mmeanza mipango....aaaah utamkumbuka huyo na umakamo wako
  12. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Good
  13. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Pole sana, pumzisha akili najua una wkt mgumu sana...usikate tamaa simama tena umwombe Mungu anakusudi na maisha yako...pole sana
  14. dada mwema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye kipato na asiyenacho, yupi ni bora kwa maisha ya sasa?

    Namaanisha angalia
Back
Top Bottom