kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
Na yy anakuhesabia tu huko hao aliochepuka nao
Kipapa a.k.a kipochi manyoya wenyewe wadada wa mjini wanavyokiita hicho kitamu.shark ni tigo eeeh??
Ameolewa. Si unaona hata anaambiwa kuwa watoto siyo wake na bado anasubiria mbivu?Unatukanwa na mwanamke hivyo na bado unaishi Naye!? Anakufukuzaje au wewe umeolewa mkuu.
😀 nishakuwa mbonaUkikua utafahamu
Kwa utamu gan hasa ulionao bibi...menopause victim.Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.
Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.
Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.
Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.
Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....
Kasie Mahaba.
Kufa na tai shingoni hapana its beta to let it goAaaaaah ulisema ktk shida, na raha na ktk kauli zako unamwelezea ukitaja "mke wngu" so komaa na hali yako
View attachment 664777
Simple translation.....
no you are not cheating....you cheat only if you are commited to some1Mie niko singo fo laifu.
Kwakuwa sina mume maalum kubambiana sunna, ila I have life partners who make my life smooth and sweet.
Kwanza vacation partner, huyu nampenda mnoo maana huwa kila likizo yangu yupo available tukatumbue maraha. Shida tuu mie niko kikazi S.A. wakati yeye yuko kaskazini magharibi kabisa mwa S.A. Namshukuru Mungu tunabamba mnoo.
Pili yuko penny partner, huyu January December of a year hataki nitumie mshahara wangu analipa pesa tuu bila hata kumuomba, yeye furaha yake asikie sauti yangu tuu, tunaongea sana kwa simu. Hatujawahi kubambiana japo alishakuja S.A. tunatoka out mziki till majogoo kwakweli huyu namheshimu maana pesa yake tamuu.
Tatu yuko huyu mmoja huyu laah ni shiiiddeeer, nilimuonjesha shark siku moja tuu basi kawehuka hataki hata kuoa. Namwambia wewe unazeeka ujue mie sina mpango wa kuolewa na wewe wala kuzaa watoto maana siwezi muacha vacation partner wangu wala penny partner wangu ndo wanaoniweka mjini. Sijarudia tena kumpa shark maana looh amekuwa kama zezeta kutwa kucha anataka nimpe, aaahggh basi nampaga fake promise siku zinaenda.
Sasa hapo sijui kama nime cheat au aje.....
Kasie Mahaba.
no you are not cheating....you cheat only if you are commited to some1
Hata utafsiri vipi gigy alishatufumbua macho kuwa papa ni tigo full stop. Ukisema nampa papa sietunajuaga ni hiyo hamna namna
Kwa utamu gan hasa ulionao bibi...menopause victim.